Kwa kushindwa kujua ipi pumba na upi ni mchele.
Kwa kushindwa kujua ipi pumba na upi ni mchele.
Mnakwama kwenye utambuzi wa mamboKama ni kweli wanawake wa humu sijui tunakwama wapi? 🤔🤔🤔🤔
Hakika Ndugu yangu , hapo sina la kupinga. Japo mdogo mdogo tutaerevuka.Mnakwama kwenye utambuzi wa mambo
Wadada jamani kweli ndoa zimekuwa ngumu sikuhizi but msijidhalilishe kisa ndoa jamani, sasa wanaume wenyewe ndo kama hvi alafu huyu sio wa kwanza kuja humu na kuanza kuongea mbovu kuhusu mdada aliekutana nae au aliechat nae huko pm, hakuna mume humu kuna wadhalilishaji tu, we angalia hata mada zao kuhusu wanawake, kila siku ni kukashifu wanawake, alafu bado mtu wa hivyo anakuja huko pm na wewe unajiachia tu
Wakuu leo nina appointment au ahadi ya kuonana na mdada nisiyemfahu ila tulikuwa tunachat PM tu kuanzia week iliyopita. Tukatongoza tukaelewana wenyewe.
Sasa leo saa kumi na moja jioni ndiyo tumepanga kuonana lodge fulani hapa Magomeni.
Sasa sijui yupoje? Sijui ni kituko kama vituko vingine vya hapa mjini?
Sijui ni mzuri na mrembo kama anavyosema yeye mwenyewe au ndiyo yaleyale maajabu ya dunia.
Mmmh hata Sijui naenda kukutana na kiumbe cha aina gani. Hii mingine ni mitihani tu. Wakuu niombeeni nimkute anafanania na yule ambaye yupo kwenye fikra yangu.
PipiiiWe jamaa haupo sawa kabisaaa Mr 7800,.yaani hata hamjaonana na yupo humu ushafungua uzi,really???
Sema tuu unachangamsha kijiwe bhanaa,.
Hello 🍳🍳Pipiii
Nipo mbioni kukufungulia uzi, much love. Mother ConfessorHello [emoji505][emoji505]
Itakuwa kaona ule uzi wa 7800 ulipata sana wadau basi anajua na huu watu watakesha wakisubiria Updates. Teh teh.
😲😲Nipo mbioni kukufungulia uzi, much love. Mother Confessor
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siyo wote bana...
Kuna watu wamekutana humu, mapenzi ya kweli yakachipua mpaka wakafunga ndoa...
Ukisema wanaume wote wa humu ni Mafurushi unakosea sana. Kama binti unajitambua, hauko desperate na una misimamo yako, uta-attract wanaume wa kufaa sana ambao wamejaa humu.
Ukisikia uwongo wa kiwango cha lami ndio huu yaani mmetongozana pm huko huyo mdada yupo humuhumu halafu mwanaume rijali kabisaaa unakuja leta uzi huku kuomba rehema wallah kama mimi ndio huyo mwanamke unakula ban ya maisha manake kipimo cha kwanza unaonekana kabisa uko na shida pahala fulaniWakuu leo nina appointment au ahadi ya kuonana na mdada nisiyemfahu ila tulikuwa tunachat PM tu kuanzia week iliyopita. Tukatongoza tukaelewana wenyewe.