Wakuu naombeni mniombee sana

Wakuu naombeni mniombee sana

Wakuu leo nina appointment au ahadi ya kuonana na mdada nisiyemfahu ila tulikuwa tunachat PM tu kuanzia week iliyopita. Tukatongoza tukaelewana wenyewe.

Sasa leo saa kumi na moja jioni ndiyo tumepanga kuonana lodge fulani hapa Magomeni.

Sasa sijui yupoje? Sijui ni kituko kama vituko vingine vya hapa mjini?
Sijui ni mzuri na mrembo kama anavyosema yeye mwenyewe au ndiyo yaleyale maajabu ya dunia.

Mmmh hata Sijui naenda kukutana na kiumbe cha aina gani. Hii mingine ni mitihani tu. Wakuu niombeeni nimkute anafanania na yule ambaye yupo kwenye fikra yangu.
Hakikisha basi dau alipandi sana wala kushuka sana, as we know kituko ataondoka na 7800 Tsh na kama ni mrembo ataondoka na 8800 Tsh.
Difference ya elfu 1 si mbayaaaaaaaaaa.

Iyo ni kotakana na makubaliano ya kikao cha Mabaharia cha last week.

Melvine.!
 
Wadada jamani kweli ndoa zimekuwa ngumu sikuhizi but msijidhalilishe kisa ndoa jamani, sasa wanaume wenyewe ndo kama hvi alafu huyu sio wa kwanza kuja humu na kuanza kuongea mbovu kuhusu mdada aliekutana nae au aliechat nae huko pm, hakuna mume humu kuna wadhalilishaji tu, we angalia hata mada zao kuhusu wanawake, kila siku ni kukashifu wanawake, alafu bado mtu wa hivyo anakuja huko pm na wewe unajiachia tu
 
Wadada jamani kweli ndoa zimekuwa ngumu sikuhizi but msijidhalilishe kisa ndoa jamani, sasa wanaume wenyewe ndo kama hvi alafu huyu sio wa kwanza kuja humu na kuanza kuongea mbovu kuhusu mdada aliekutana nae au aliechat nae huko pm, hakuna wamume humu kuna wadhalilishaji tu, we angalia hata mada zao kuhusu wanawake, kila siku ni kukashifu wanawake, alafu bado mtu wa hivyo anakuja huko pm na wewe unajiachia tu
Siyo wote bana...

Kuna watu wamekutana humu, mapenzi ya kweli yakachipua mpaka wakafunga ndoa...

Ukisema wanaume wote wa humu ni Mafurushi unakosea sana. Kama binti unajitambua, hauko desperate na una misimamo yako, uta-attract wanaume wa kufaa sana ambao wamejaa humu.
 
Itakuwa kaona ule uzi wa 7800 ulipata sana wadau basi anajua na huu watu watakesha wakisubiria Updates. Teh teh.
Umewaza vema.
Kiki ya kijinga kudhalilisha tuu wanawake na story zake fake.
Hapo ameshaandaa story ya kuja kuandika. Na anaenda kukutana na id ambayo ni fekero lake.
 
Wakuu leo nina appointment au ahadi ya kuonana na mdada nisiyemfahu ila tulikuwa tunachat PM tu kuanzia week iliyopita. Tukatongoza tukaelewana wenyewe.

Sasa leo saa kumi na moja jioni ndiyo tumepanga kuonana lodge fulani hapa Magomeni.

Sasa sijui yupoje? Sijui ni kituko kama vituko vingine vya hapa mjini?
Sijui ni mzuri na mrembo kama anavyosema yeye mwenyewe au ndiyo yaleyale maajabu ya dunia.

Mmmh hata Sijui naenda kukutana na kiumbe cha aina gani. Hii mingine ni mitihani tu. Wakuu niombeeni nimkute anafanania na yule ambaye yupo kwenye fikra yangu.
Piga tu punyeto utakuwa umeenda sawa na aliye kwenye fikra zako
 
Wakuu leo nina appointment au ahadi ya kuonana na mdada nisiyemfahu ila tulikuwa tunachat PM tu kuanzia week iliyopita. Tukatongoza tukaelewana wenyewe.

Sasa leo saa kumi na moja jioni ndiyo tumepanga kuonana lodge fulani hapa Magomeni.

Sasa sijui yupoje? Sijui ni kituko kama vituko vingine vya hapa mjini?
Sijui ni mzuri na mrembo kama anavyosema yeye mwenyewe au ndiyo yaleyale maajabu ya dunia.

Mmmh hata Sijui naenda kukutana na kiumbe cha aina gani. Hii mingine ni mitihani tu. Wakuu niombeeni nimkute anafanania na yule ambaye yupo kwenye fikra yangu.
Kwamba hamkutumiana picha
 
Umewaza vyema.
Kiki ya kijinga kudhalilisha tuu wanawake na story zake fake.
Hapo ameshaandaa story ya kuja kuandika. Na anaenda kukutana na id ambayo ni fekero lake.
Unadhani kuna watu humu wanajuaga sana kucheza na akili za watu.

Ila hapa ndio pakujifunza kwamba hata wenye Id za muda kidogo wapo pia wasiojielewa.
 
Unadhani kuna watu humu wanajuaga sana kucheza na akili za watu.

Ila hapa ndio pakujifunza kwamba hata wenye Id za muda kidogo wapo pia wasiojielewa mana niliwahi ona sehemu mtu anasema Id kongwe tu ndio ntajibu PM zao nikasema Lol.
Haka kapovu kananipa wasiwasi sana maana sio bure
 
Ndio nimeshangaa huyo mjinga mwenye huruma anayeenda kukutana na huyu lofa ni nani.
Hahahahaa najua unavyojisia mkuu. Usijali ni hali ya kawaida tu
 
Wakuu leo nina appointment au ahadi ya kuonana na mdada nisiyemfahu ila tulikuwa tunachat PM tu kuanzia week iliyopita. Tukatongoza tukaelewana wenyewe.

Sasa leo saa kumi na moja jioni ndiyo tumepanga kuonana lodge fulani hapa Magomeni.

Sasa sijui yupoje? Sijui ni kituko kama vituko vingine vya hapa mjini?
Sijui ni mzuri na mrembo kama anavyosema yeye mwenyewe au ndiyo yaleyale maajabu ya dunia.

Mmmh hata Sijui naenda kukutana na kiumbe cha aina gani. Hii mingine ni mitihani tu. Wakuu niombeeni nimkute anafanania na yule ambaye yupo kwenye fikra yangu.
Wengine tutakuwa tukiwatoa humu kwa upumbavu mlokuwa nao! Hayo ni ya kutuambia siye? Si ni suala la kuwakusanya ndugu zako na kuwaeleza hayo na ukasikia wanachokwambia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom