Wakuu naombeni mniombee sana

Wakuu naombeni mniombee sana

[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]credit goes to the pioneer of that word
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mafurushi tu.

Halafu ujue umememntion mafurushi ila nashangaa ni mimi nimepata notification ya mention, how do you do that?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]ulivyoongelea hayo mambo ya ban umenikumbusha kuna member mmoja alikuwa anajitetea kwa Melo kwamba aliwahi kumtongoza Farida humu akala ban sasa eti akawa anauliza kwani kutongoza hapa jukwaani ni kosa, sijui kama hakuongezewa ban nyingine yule.
Ukisikia uwongo wa kiwango cha lami ndio huu yaani mmetongozana pm huko huyo mdada yupo humuhumu halafu mwanaume rijali kabisaaa unakuja leta uzi huku kuomba rehema wallah kama mimi ndio huyo mwanamke unakula ban ya maisha manake kipimo cha kwanza unaonekana kabisa uko na shida pahala fulani
 
6IB72THQJQ7 Imethibitishwa. Tsh7,800.00 imetumwa kwa TIGO PESA kwenye akaunti namba 255714**** tarehe 11/9/19 saa 8:37 PM. salio lako la M-Pesa ni Tsh***

Nishafanya muamala,na amini na wewe utaendelea na hii bei elekezi
 
Teknolojia mama, hapo ukute JF imeshadetect anayelitumia sana hilo neno ni nani humu jukwaani hivyo kama siyo id ya mtu yeyote basi kila likitagiwa utakuwa unaitwa wewe.
Yaani nimetafuta jina silioni naona mafurushi tu, nikarudi kuangalia upya mention nikabaki nashangaa!
 
Huwa sielewi unatongoza vipi mtu usiyemjua. Yaani hata kutumiana picha hamna kweli?
 
Tuache kumuombea Magu , tukuombee wewe unayeenda kufanya uzinzi.
Wi kant
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mafurushi tu.

Halafu ujue ume-mention mafurushi ila nashangaa ni mimi nimepata notification ya mention, how do you do that?
Eti mafurushi tu. Siyo kweli bana unless kama ulinidanganya kuwa miye siyo furushi [emoji16][emoji16][emoji16]

Nilichofanya hapo ni hivi: Nilianza kwanza kwa kukutag kikawaida tu yaani Atoto. Baada ya kuipublish nikarudi na kuedit nikatoa hiyo Atoto na kuweka Mafurushi. Rahisi tu...Huwa sipendi kutaja majina ya watu hovyo hovyo hasa kama nina kautani nao au kama nimeshawazoea zoea.

Halafu nakuomba uende kwenye huu uzi halafu angalia comment #77. Nilicheka sana nilipoiona japo sina uhakika kama uliicheki [emoji16][emoji16][emoji16]

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom