zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 223
Wakuu, jana nilitumiwa sms ikiwa na country code za UK (+491), yenye ujumbe unaosema: "Your Mobile No. has won 615,000.00 Pounds From NOKIA-UK. For details send email to:freenokia@live.com".
Ni mara ya pili kupata sms kama hii, takriban mwezi mmoja uliopita nilipata sms kama hii, isipokuwa yenyewe ilikuwa ina country code za UAE (Dubai) na amount ilikuwa tofauti. Sikuitilia maanani kwa vile nilihisi ni matapeli, ila safari hii nimejiuliza kwa nini wanitumie kitu hii? Kingine kinachonishangaza ni kuwa, nina wiki mbili tangu nimebadilisha line yangu toka hand-set ya Nokia kwenda ya Samsung!
Je wakuu kuna mtu ambaye ameshawahi kupata sms ya/za namna hii? Hawa si matapeli? Na nia yao ni nini toka kwangu? Nifanyeje?