Wakuu habari za leo,natumaini hamjambo!
Niwiki sasa tangu nipokee SMS toka kwa namba ngeni ikinitaka nijiunge na taasisi ya Save Humanity Organizatio ambayo walieleza nia yao ya kutaka kuniajiri , katika SMS hiyo kilikuwa na namba(Code namba) ambayo nilipaswa kuituma katika email ya taasisi hiyo Kama uthibitisho , email hiyo ni "religionnonprofitet@post.com",baada ya kuwatumia code hiyo nilitumiwa form katika email yangu ambayo nilipaswa kuijaza na kuwatumia Tena,baada ya kuijaza form hiyo na kuwatumia ,walinitumia barua ya kukubaliwa ombi langu na baadae walinitumia mkataba ambao niliujaza ,katika maelezo yao wao walidai kuwa ni taasisi yenye makao makuu yake nchini Marekani,lakini kwa sasa wanataka kufungua tawi nchini Tanzania ,hivyo wakija kufungua Mimi nitakuwa moja ya wasimamizi wao.
Kampuni yenyewe wanasema wanajihusisha na utoaji elimu,huduma kwa waathirika wa UKIMWI na pia watoto wanaotoka katika mazingira magumu.
Hoja yangu kwenu ninyi great thinkers wa jf ,je Ni kweli taasisi hii ipo au ninasumbuka na matapeli tu?,lakini nimezoea kuona email za matapeli kuishia na gmail /yahoo.com,Hawa wao ni tofauti
Nisaidieni mwenzenu kabla sijaibiwa