Wakuu mtanishaurije hapa?


zaratustra

zaratustra

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
852
Likes
88
Points
45
zaratustra

zaratustra

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
852 88 45
Wakuu, jana nilitumiwa sms ikiwa na country code za UK (+491), yenye ujumbe unaosema: "Your Mobile No. has won 615,000.00 Pounds From NOKIA-UK. For details send email to:freenokia@live.com".
Ni mara ya pili kupata sms kama hii, takriban mwezi mmoja uliopita nilipata sms kama hii, isipokuwa yenyewe ilikuwa ina country code za UAE (Dubai) na amount ilikuwa tofauti. Sikuitilia maanani kwa vile nilihisi ni matapeli, ila safari hii nimejiuliza kwa nini wanitumie kitu hii? Kingine kinachonishangaza ni kuwa, nina wiki mbili tangu nimebadilisha line yangu toka hand-set ya Nokia kwenda ya Samsung!
Je wakuu kuna mtu ambaye ameshawahi kupata sms ya/za namna hii? Hawa si matapeli? Na nia yao ni nini toka kwangu? Nifanyeje?
 
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
7,265
Likes
1,577
Points
280
Donnie Charlie

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
7,265 1,577 280
hao ni matapeli na mwisho wa siku watakuambia uwape details za accound yako au uwatumie kiasi fulani cha hela kama kodi itakayokatwa kule kwao kwa ajili ya ku-process malipo yako(imagine ni 15% ya hiyo pesa uliyoshinda)pia nokia wana domain yao sidhani kama wanaweza kutumia @live.com
 
M

Malila

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2007
Messages
4,489
Likes
932
Points
280
M

Malila

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2007
4,489 932 280
Majizi hayo,achana nayo. Kwanza elewa kitu kimoja, chini ya jua hili hakuna kitu cha bure, pili ukiambiwa umechaguliwa/au umeshinda lotto ambayo hukushiriki lazima ujiulize mara mbili tatu.
 
Vin Diesel

Vin Diesel

JF Gold Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
8,673
Likes
1,187
Points
280
Vin Diesel

Vin Diesel

JF Gold Member
Joined Mar 1, 2011
8,673 1,187 280
Wezi hao...
 
RedDevil

RedDevil

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2009
Messages
2,373
Likes
1,087
Points
280
RedDevil

RedDevil

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2009
2,373 1,087 280
Ikiwezekana report abuse!! Ila kifupi ni wezi, kama huamini fuatilia kidogo ila kuwa makini ukishafika level ya kutoa informations zako hapo ndo kimbia bila hata kuangalia nyuma, ukiangalia mara mbili mbili ujue unajipeleka mwenyewe, na yatakayokukuta uniPM kimya kimya nitakueleza kitu.
 
Mihayo

Mihayo

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2010
Messages
270
Likes
9
Points
35
Mihayo

Mihayo

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2010
270 9 35
Few Hours ago kaja jirani yangu with the same sms ni wizi unaoendelea kwa sasa kaka, waepuke
 
pcman

pcman

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2008
Messages
748
Likes
39
Points
45
pcman

pcman

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2008
748 39 45
mipaundi yote hiyo washindwe kukupigia simu?
 
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,827
Likes
2,112
Points
280
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,827 2,112 280
kaa chonjo mkuu................huh
 
zaratustra

zaratustra

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
852
Likes
88
Points
45
zaratustra

zaratustra

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
852 88 45
Wakuu, nashukuru kwa response yenu! Niliamua kuwaandikia, na majibu yao inabidi niwashirikishe kama ambavyo niliwaomba ushauri, ni kama hivi:


Nokia 2-6 Boundary Row
SE1 8HP London

United Kingdom


Verification Form
In line with the commemorating event marking our143rd anniversary we rolled out over £16,000.000.00 (Sixteen Million Great Britain Pounds) for our 143rd Anniversary Draws.All participants were selected through a computer ballot system drawn from 25,000 company mobile numbers, and 30,000,000 individual mobile numbers from the 45 mobile networks from Australia, New Zealand, North America, South America, Europe, Asia and Africa as part of International Promotions Program, which is conducted annually in Britain, London.

This promo is approved by the British Gaming Board and also licensed by the International Association of Gaming Regulators (IAGR).. This promo is the 1st of its kind and we intend to sensitize the public. To begin the verification process of your prize, you are required to fill and send the claims form below


VERIFICATION REQUIREMENT

All fields are required

1, FULL NAME:

2, WINNING MOBILE NUMBER:

3, ALTERNATIVE MOBILE NUMBER:

4, NETWORK NAME:

5, RESIDENTIAL ADDRESS:

6, DATE OF BIRTH:

7, OCCUPATION:

8, COUNTRY:

9, NATIONALITY:

10, GENDER: MALE/ FEMALE:

11, AMOUNT WON (IN WORDS):

12, EMAIL ADDRESS:

CLAIMS OPTION

Specify the option suitable for receiving your prize.

(1) TRAVELLING DOWN HERE TO LONDON FOR COLLECTION OF YOUR PRIZE

(2) CHEQUE DELIVERY VIA COURIER (COURIER CHARGES HAS TO BE PAID BEFORE DELIVERY)

NOTE

·Any falsification of your details will render you disqualified because you will be assumed to be impersonating.
·You are required to send a copy of your passport or drivers license along with the claims requirement.
·As soon as you are verified as one of the winners, you will be required to come to our above address, United Kingdom to redeem your winning Cheque.
·Winners who are unable to come to our office to receive their prizes will be responsible for courier charges incurred by courier before delivery which have to be paid before delivery .
·Friend and relatives cannot redeem your won prize on your behalf because the certified cheque is covered by an IRREVOCABLE GUARANTEE BOND (IGB).
·To avoid double claim,impersonation and disqualification, all winning information should be kept strictly confidential.


I wish to on behalf of all members and staff of NOKIA congratulate you on your win and wish you the best of luck as you spend your good fortune.Thank you for being part of our commemorative 143rdAnniversary Draws.Yours Faithfully,
Mr. Terry Adams


Tel: +44-703-592-7713

Email:freenokia@live.com

© Copyright 2011 Nokia UK Promo. All rights reserved

 
Papizo

Papizo

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Messages
4,632
Likes
429
Points
180
Papizo

Papizo

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2008
4,632 429 180
Wakuu, jana nilitumiwa sms ikiwa na country code za UK (+491), yenye ujumbe unaosema: "Your Mobile No. has won 615,000.00 Pounds From NOKIA-UK. For details send email to:freenokia@live.com".
Ni mara ya pili kupata sms kama hii, takriban mwezi mmoja uliopita nilipata sms kama hii, isipokuwa yenyewe ilikuwa ina country code za UAE (Dubai) na amount ilikuwa tofauti. Sikuitilia maanani kwa vile nilihisi ni matapeli, ila safari hii nimejiuliza kwa nini wanitumie kitu hii? Kingine kinachonishangaza ni kuwa, nina wiki mbili tangu nimebadilisha line yangu toka hand-set ya Nokia kwenda ya Samsung!
Je wakuu kuna mtu ambaye ameshawahi kupata sms ya/za namna hii? Hawa si matapeli? Na nia yao ni nini toka kwangu? Nifanyeje?
UK hamna hizo code number ila wanatumia +44
 
HAZOLE

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Messages
1,375
Likes
104
Points
160
HAZOLE

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2011
1,375 104 160
changamkia tenda hiyo
 

Forum statistics

Threads 1,237,971
Members 475,809
Posts 29,308,404