Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,663
- 4,906
Atunywi sumu wala hatujinyongi -CCM mbele kwa mbele
nimeachika-amber lulu😂
mbona umekaa kinyongesananimeachika-amber lulu😂
Bado anampenda huyo huwezi waza msimanga mtu usiemuwaza kumkichwa love
Hapa utakua umemaliza kila kitu.
Sasa mbona umekuja kuniimba huku?NYieee 😅😅
Nimezunguka Tanzania bara
Unguja na Pemba nimefika aah
Nimewaona vijana wenye sifa aah
Wenye kujipamba wakapambika, aah