Ipi nzuri kati ya Hot 40 pro na Note 30 pro?

Katika hizo simu mbili, licha ya kuwa na processor sawa "MediaTek Helio G99" ila Infinix Note 30 Pro ni bora zaidi kwa sababu ya vitu kama display, camera, charging speed, wireless charging na design
Infinix Note 30 Pro ni bora zaidi. Ila zaidi ya zote nashauri ununue "Samsung Galaxy A34 5G" badala yake

Halafu huu uzi ungeupeleka kwenye jukwaa la Tech ingekuwa vyema zaidi
 
Jitahidi kidogo uongeze hela ununue Iphone 15 Pro Max Dual sim card, au nunua Iphone 14 Pro Max dual sim card, utanishukuru milele na milele, in the next 5 to 6 yrs hutauliza kununua simu tena
 
Achana na hizo takataka za kichina, utakuja unishukuru baadae. Bora uchukue samsung au iPhone used kama mfuko wako siyo mrefu. Au kama bado una nia na mchina basi chukua huawei angalau.
 
Achana na hizo takataka za kichina, utakuja unishukuru baadae. Bora uchukue samsung au iPhone used kama mfuko wako siyo mrefu. Au kama bado una nia na mchina basi chukua huawei angalau.
Samsung zipo nyingi, iPhone zipo nyingi pia. Be specific anunue Samsung gani kwa bei yake.
Halafu kwa Mchina, around bei ya simu alizotaja mleta mada "Xiaomi" ndio ziko vizuri. Sio Huawei
 
Kwa budget ya mleta mada "Samsung Galaxy A34 5G" au "Redmi Note 12 Pro" zinamfaa

Hamna haja ya kuhangaika na simu za mamilioni. Hata kwa budget yake anaweza kupata simu nzuri tu za midrange
Jitahidi kidogo uongeze hela ununue Iphone 15 Pro Max Dual sim card, au nunua Iphone 14 Pro Max dual sim card, utanishukuru milele na milele, in the next 5 to 6 yrs hutauliza kununua simu tena
 
Back
Top Bottom