Nahitaji Lyrics ya ngoma ya Godzilla ft G. Nako 'Kila wakati'

Wakuu habari za muda huu, Poleni na majukumu. Msaada tafadhali.

Nahitaji Lyrics ya ngoma ya Godzilla ft G.Nako_KILA WAKATI.

Nimetafuta sana,saana,sana. Mwenye nayo plz,Huko youtube nimetafuta sana bila mafanikio. Asanteni.

Forgive me.
Jioni nikipata time ntaziandika...

Kionjo...

Kujua muziki homie that's not enough
Ukishindwa Rudi Matawi ya Chini omba tafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom