britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 15,636
- 30,004
Wakuu Habari
Nimepitia bandiko la jana la Bwana na kaka yangu Pascal Mayalla kuhusu ukosoaji na usifiaji lakin kwa jinsi alivyozishusha nondo ukiwa unasoma unasisimkwa mwili,
Niliwahi kumshauri hata Huyo bwana Msiba juu ya ulichosema
siku hizi mi ni mzembe wa kuandika, lakin ngoja niandike tu haijarishi Kama kweli uzi utafutwa au utahaririwa na Mods,
Kuna Kipengele umesema wanaokosoa wanakuwa vichaa kudhani kila movement mbaya dhid ya wapinzani inafanywa na serikali, lakin inaonesha kwamba wachambuzi Kama ninyi mnakaa kimya Sana mnachambua mambo kwa uoga sana hadi inasikitisha sana kuona hata baadhi ya Ukweli mdogo mdogo mnaogopa kuchambua,
Taifa lilivyo kwa sasa tusifichane linahitaji kiongozi mwenye kujenga upendo na umoja wa kitaifa mwaka 2025
Niliyasema kwenye Uzi huu hapa Kuwa sawa Magufuli anafanya makubwa kama ujenzi wa miundo mbinu, lakin Mioyo mbinu haiko powaa
Tunategemea mlete nyuzi basi za kuondoa sintofahamu juu ya kupotea kwa Ben saanane na Azory gwanda,
Kupigwa Risasi Kwa Tundu lissu,
Maana ukosoaji unaosaidia taifa ni Kama nilioandika Kwa Uzi huu chini mpaka nikaanza kuambiwa nahujumu maendeleo ya Taifa ,yaan ukitoa ushauri chanya utaambulia matusi na kutangazwa adui wa Taifa wa Kimya kimya, Kuna kundi la WhatsApp la watu nyeti la kujadili jinsi ya kuwakamata wanaokosoa
Sina shaka kabisa na uchambuzi wenu ambao unaonesha hamna upande ,ila kuweza kuwashawish watanzania kuwa upande fulani haukuhusika kwenye matukio mazito kama hayo?
Ninyi ni wachambuzi na waandishi wa habari, mtazipata wapi nobble prizes, au mtajivunia kwamba mlilisaidia taifa?
Haki ya Mungu msipoandika, mkanyamaza, wapinzani wasiposema wakaogopa, wasemaji wa haki za Binadamu wasiposema BASI MUNGU ATATENDA
NB Mimi ni Mwana CCM ambaye nimepata kadi kwa kuisomea siyo ya kuokota kwenye mikutano ya hadharaNashangaa hao waliopewa kadi kwenye mikutano ya adhara kama kina Asenga waliwahi kunisumbua sana kwa uzi huu
Britanicca

Musiba Cyprian kwa njia hii haumtetei Rais ila unamuaibisha, na kuwadhalilisha wanaomtetea kwa hoja
Huyu Musiba ni vema amtetee rais ila sasa hajui kupanga hoja zake vema na kutoa mifano hata kama ya uongo ila angalau iendane endane na ukweli, watu wana akili zao siyo chekechea, Nimemsikia kwenye chanel yake fulani akisema yafuatayo 1.Jamiiforums ni mtandao wa kumtukana rais saa moja hadi...
www.jamiiforums.com
siku hizi mi ni mzembe wa kuandika, lakin ngoja niandike tu haijarishi Kama kweli uzi utafutwa au utahaririwa na Mods,
Kuna Kipengele umesema wanaokosoa wanakuwa vichaa kudhani kila movement mbaya dhid ya wapinzani inafanywa na serikali, lakin inaonesha kwamba wachambuzi Kama ninyi mnakaa kimya Sana mnachambua mambo kwa uoga sana hadi inasikitisha sana kuona hata baadhi ya Ukweli mdogo mdogo mnaogopa kuchambua,
Taifa lilivyo kwa sasa tusifichane linahitaji kiongozi mwenye kujenga upendo na umoja wa kitaifa mwaka 2025
Niliyasema kwenye Uzi huu hapa Kuwa sawa Magufuli anafanya makubwa kama ujenzi wa miundo mbinu, lakin Mioyo mbinu haiko powaa
After 2025 we need moral and spiritual awakening for the country to recover from Magufuli’s presidency
The only thing that can cast out hate is love among Tanzanians, Magufuli being tyranny direct means CCM's tyrannos might prevail if we don't be careful We remember that CCM made mistakes and vanquished CCM Asilia’s attempted counterrevolution within . The Unknown People regime is notorious...
www.jamiiforums.com
Tunategemea mlete nyuzi basi za kuondoa sintofahamu juu ya kupotea kwa Ben saanane na Azory gwanda,
Kupigwa Risasi Kwa Tundu lissu,
Maana ukosoaji unaosaidia taifa ni Kama nilioandika Kwa Uzi huu chini mpaka nikaanza kuambiwa nahujumu maendeleo ya Taifa ,yaan ukitoa ushauri chanya utaambulia matusi na kutangazwa adui wa Taifa wa Kimya kimya, Kuna kundi la WhatsApp la watu nyeti la kujadili jinsi ya kuwakamata wanaokosoa
Nakataa Tanzania haiwezi kuwa Nchi ya Uchumi wa Kati ifikapo 2025
Habari zenu wakuu , Nchi yetu imekuwa ni ya mipango ya muda mrefu bila ukamilishaji kwa muda , na kupanga bila kuangalia mbele, Ninaangalia nchi nyingi duniani huwa na mipango endelevu amnbayo uongozi urithishana na kama ajenda ya taifa, nina mifano ya mataifa yafuatayo ambayo miaka ya nyuma...
www.jamiiforums.com
Sina shaka kabisa na uchambuzi wenu ambao unaonesha hamna upande ,ila kuweza kuwashawish watanzania kuwa upande fulani haukuhusika kwenye matukio mazito kama hayo?
Ninyi ni wachambuzi na waandishi wa habari, mtazipata wapi nobble prizes, au mtajivunia kwamba mlilisaidia taifa?
Haki ya Mungu msipoandika, mkanyamaza, wapinzani wasiposema wakaogopa, wasemaji wa haki za Binadamu wasiposema BASI MUNGU ATATENDA
NB Mimi ni Mwana CCM ambaye nimepata kadi kwa kuisomea siyo ya kuokota kwenye mikutano ya hadharaNashangaa hao waliopewa kadi kwenye mikutano ya adhara kama kina Asenga waliwahi kunisumbua sana kwa uzi huu
Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania
Akiwa Waziri katika awamu mbali mbali alikuwa ni mwana CCM na waziri anayefanya kazi na utendaji wake ulikuwa juu kuliko mtanzania yeyote aliyekuwa katika uongozi au sekta yeyote ile ya serikali, Utendaji wake ulikuwa mkubwa kuliko hata madaraka aliyo nayo, maono yake yaliona mbali kuvuka mipaka...
www.jamiiforums.com
Britanicca