Wakuu mnaoshusha nondo JF hamuwezi toa nondo juu ya dots fulani fulani ili akina Saanane na Azory wapatikane ?

Mkuu umeandika,

Kumbuka Jamiiforums is where we dare to say openly!

Wewe una fake ID kama mimi halafu bado unaficha hata kutaja namba za ndege na nchi inakotoka halafu nikisema ulichoandika ni bandwagon fallacy nitakuwa nakosea!
Ushaambiwa hapa ni home of great thinkers. Kama wewe ni low thinker katafute jukwaa lako au nenda Facebook huko utakutana na size yako.
 
Nae alikuwa mjinga tu tena mpumbavu. Wewe kwa nchi zetu hizi unaanza kihelehele cha kuanza kuhoji elimu ya mtu tena kiongozi inakusaidia nini?

Pambana, tafuta ugali wa wanao, hayo mengine waachie wenyewe basi.
Kama watu wote dunia hii tungekuwa na akili kama zako basi tungekuwa tunaishi misituni na nyani. Idiot
 
Nimegundua kitu JF wanaendeshwa na MIHEMKO. Yaani ukiwa upande wa serikali tu tayari una njaa. Hivi wewe nyumb***** unanifahamu Mimi?Nafanya kazi gani na niko wapi?Yaani kwenu anayeunga mkono serikali basi anatumika. Nyie ni wapumb******av
Na wewe pia umejigundua kuwa mihemko inakukimbiza PANIC za nini,Yaani anayepinga Serikali kwenu ni nyumbu! Wote mle mle
 
Wakuu Habari
Nimepitia bandiko la jana la Bwana na kaka yangu Pascal Mayalla kuhusu ukosoaji na usifiaji lakin kwa jinsi alivyozishusha nondo ukiwa unasoma unasisimkwa mwili,

Tunategemea mlete nyuzi basi za kuondoa sintofahamu juu ya kupotea kwa Ben saanane na Azory gwanda,
Kupigwa Risasi Kwa Tundu lissu,

Sina shaka kabisa na uchambuzi wenu ambao unaonesha hamna upande ,ila kuweza kuwashawish watanzania kuwa upande fulani haukuhusika kwenye matukio mazito kama hayo?

Ninyi ni wachambuzi na waandishi wa habari, mtazipata wapi nobble prizes, au mtajivunia kwamba mlilisaidia taifa?

Haki ya Mungu msipoandika, mkanyamaza, wapinzani wasiposema wakaogopa, wasemaji wa haki za Binadamu wasiposema BASI MUNGU ATATENDA
Britanicca
Mkuu Britanicca, naomba nianzie chini kuwa Mungu atateta, kwa kawaida siku zote Mungu huwa anatenda, ila hatendi kwa hisia tuu za watu kuwa ni fulani kafanya hivi au vile. Mungu atatena kwa kanuni ya karma tutahukumiwa kwa mawazo yetu, maneno yote na matendo yetu, hivyo yoyote alimpoteza Azory Gwanda, Ben Saanane na kumshambulia Tundu Lissu, atalipwa na atafidia.

Mimi najifanyia self proclamation kuwa ni mtetezi wa haki na siegemei upande wowote. Kanuni ya tuhuma ni "the one who allege, must prove". Hata kama dhamira yako inakuelekeza kuwa ni fulani, huruhusiwi kumyooshea kidole unless you have proof na sio tuu kudhania. Hii ya kunyooshea tuu watu vidole, mimi naiita ni ramli chonganishi
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa ...
Shambulio la Lissu, limepangwa na watu wasiojulikana, na kutekelezwa na watu wasiojulikana,
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na ...

P
 
Ben Saanane sio Mbowe,bali ni yule aliyekuwa anahojiwa PhD yake ya kubangua maganda ya korosho aliipataje wakati paper yake ipo sawa na ya msimamizi wake?

Hiki ndio kimempoteza Ben,bahati mbaya Ben amepotea mwanzoni mwanzoni mwa utamaduni wa watu kupotezwa ndio unaanza anza.Watu wana roho mbaya sana,ndio maana wanakosa amani ya moyo,kutwa kucha kupanic na kukurupuka.Huwezi kuwa salama juu ya damu ya watu na maumivu ya familia zao.

Wewe umeugua tu kidogo,watu wakaunganishia na kifo,unaanza kusema "utu,utu,utu".Utu haujengwi kwa namna hiyo,utu na upendo ni matokeo ya kuheshimu uhai wa tajiri na masikini,kila mwanadamu ana thamani ya damu yake,mwanadamu mwenzie anapoitoa damu hiyo,ataweweseka yeye na vizazi vyake.Thamani ya utu haina mbadala sio madaraka wala amani ya nchi...Ndio maana hata leo ukimuuwa kichaa au chizi,lazima uwajibike,maana hatutaangalia ukichaa wao,nali utu wao.

Usiku wa manane,ndege aina ya CRJ,mali ya nchi moja ya maziwa makuu,kwa kutumia magari meusi,ilibadilishana "wafungwa wa kuteswa" sababu ya kuupinga uongozi wa watawala wa pande zote mbili.

Ni bahati mbaya watu hudhani damu ya mtu ni halali yao,kabla ya mawio na machweo,damu ya mtu huyu itakuwa imepiga kelele na kutoa kilio...haitawaacha watu salama!

Pole sana kwa familiabya Ben,mwanae wa kike ndugu,jamaa na marafiki.
...inasikitisha saana , kinacho sikitisha zaidi watu kukaa kimya juu ya haya
 
Ben Saanane inajulikana ni mpango wa Mbowe kumpoteza, haiwezekani eti msaidizi wako unaefanya nae kazi ofisi moja anapotea halafu wewe unaendelea na kazi zako kama kawaida hata kumtafuta hutaki, Mbowe Mungu anakuona mrudishe Ben Saanane wetu,
Usingechangia at least tungeona bado umebakiza kaakili kidogo
 
Nimegundua kitu JF wanaendeshwa na MIHEMKO. Yaani ukiwa upande wa serikali tu tayari una njaa. Hivi wewe nyumb***** unanifahamu Mimi?Nafanya kazi gani na niko wapi?Yaani kwenu anayeunga mkono serikali basi anatumika. Nyie ni wapumb******av
Wewe ni afadhali baba yako angekupiga PULI tu, ama KUKUMWAGA NJE.
 
Mkuu umeandika,

Kumbuka Jamiiforums is where we dare to say openly!

Wewe una fake ID kama mimi halafu bado unaficha hata kutaja namba za ndege na nchi inakotoka halafu nikisema ulichoandika ni bandwagon fallacy nitakuwa nakosea!
Ili iweje mkuu
 
Nimegundua kitu JF wanaendeshwa na MIHEMKO. Yaani ukiwa upande wa serikali tu tayari una njaa. Hivi wewe nyumb***** unanifahamu Mimi?Nafanya kazi gani na niko wapi?Yaani kwenu anayeunga mkono serikali basi anatumika. Nyie ni wapumb******av
Mkitumbulia mirija yenu ikifungwa huwa mnaanza kuiponda mnasifu sababu ni wanufaika wa upigaji
 
Mkuu Britanicca, naomba nianzie chini kuwa Mungu atateta, kwa kawaida siku zote Mungu huwa anatenda, ila hatendi kwa hisia tuu za watu kuwa ni fulani kafanya hivi au vile. Mungu atatena kwa kanuni ya karma tutahukumiwa kwa mawazo yetu, maneno yote na matendo yetu, hivyo yoyote alimpoteza Azory Gwanda, Ben Saanane na kumshambulia Tundu Lissu, atalipwa na atafidia.

Mimi najifanyia self proclamation kuwa ni mtetezi wa haki na siegemei upande wowote. Kanuni ya tuhuma ni "the one who allege, must prove". Hata kama dhamira yako inakuelekeza kuwa ni fulani, huruhusiwi kumyooshea kidole unless you have proof na sio tuu kudhania. Hii ya kunyooshea tuu watu vidole, mimi naiita ni ramli chonganishi
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa ...
Shambulio la Lissu, limepangwa na watu wasiojulikana, na kutekelezwa na watu wasiojulikana,
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na ...

P
Mungu akatenda
 
Ben Saanane inajulikana ni mpango wa Mbowe kumpoteza, haiwezekani eti msaidizi wako unaefanya nae kazi ofisi moja anapotea halafu wewe unaendelea na kazi zako kama kawaida hata kumtafuta hutaki, Mbowe Mungu anakuona mrudishe Ben Saanane wetu,
Unasemaje
 
Back
Top Bottom