Wakuu mnaoshusha nondo JF hamuwezi toa nondo juu ya dots fulani fulani ili akina Saanane na Azory wapatikane ?

Ben Saanane sio Mbowe,bali ni yule aliyekuwa anahojiwa PhD yake ya kubangua maganda ya korosho aliipataje wakati paper yake ipo sawa na ya msimamizi wake?

Hiki ndio kimempoteza Ben,bahati mbaya Ben amepotea mwanzoni mwanzoni mwa utamaduni wa watu kupotezwa ndio unaanza anza.Watu wana roho mbaya sana,ndio maana wanakosa amani ya moyo,kutwa kucha kupanic na kukurupuka.Huwezi kuwa salama juu ya damu ya watu na maumivu ya familia zao.

Wewe umeugua tu kidogo,watu wakaunganishia na kifo,unaanza kusema "utu,utu,utu".Utu haujengwi kwa namna hiyo,utu na upendo ni matokeo ya kuheshimu uhai wa tajiri na masikini,kila mwanadamu ana thamani ya damu yake,mwanadamu mwenzie anapoitoa damu hiyo,ataweweseka yeye na vizazi vyake.Thamani ya utu haina mbadala sio madaraka wala amani ya nchi...Ndio maana hata leo ukimuuwa kichaa au chizi,lazima uwajibike,maana hatutaangalia ukichaa wao,nali utu wao.

Usiku wa manane,ndege aina ya CRJ,mali ya nchi moja ya maziwa makuu,kwa kutumia magari meusi,ilibadilishana "wafungwa wa kuteswa" sababu ya kuupinga uongozi wa watawala wa pande zote mbili.

Ni bahati mbaya watu hudhani damu ya mtu ni halali yao,kabla ya mawio na machweo,damu ya mtu huyu itakuwa imepiga kelele na kutoa kilio...haitawaacha watu salama!

Pole sana kwa familiabya Ben,mwanae wa kike ndugu,jamaa na marafiki.
Mkuu mbona tayari Mungu keshalipa kisasi juu ya Damu ya kina Ben Saanane na Azori Gwanda na wengine wote, wanaogopa kutangaza ila watatangaza tu, MATAGA ngazi za juu yameshalia vya kutosha.
 
Ben Saanane sio Mbowe,bali ni yule aliyekuwa anahojiwa PhD yake ya kubangua maganda ya korosho aliipataje wakati paper yake ipo sawa na ya msimamizi wake?

Hiki ndio kimempoteza Ben,bahati mbaya Ben amepotea mwanzoni mwanzoni mwa utamaduni wa watu kupotezwa ndio unaanza anza.Watu wana roho mbaya sana,ndio maana wanakosa amani ya moyo,kutwa kucha kupanic na kukurupuka.Huwezi kuwa salama juu ya damu ya watu na maumivu ya familia zao.

Wewe umeugua tu kidogo,watu wakaunganishia na kifo,unaanza kusema "utu,utu,utu".Utu haujengwi kwa namna hiyo,utu na upendo ni matokeo ya kuheshimu uhai wa tajiri na masikini,kila mwanadamu ana thamani ya damu yake,mwanadamu mwenzie anapoitoa damu hiyo,ataweweseka yeye na vizazi vyake.Thamani ya utu haina mbadala sio madaraka wala amani ya nchi...Ndio maana hata leo ukimuuwa kichaa au chizi,lazima uwajibike,maana hatutaangalia ukichaa wao,nali utu wao.

Usiku wa manane,ndege aina ya CRJ,mali ya nchi moja ya maziwa makuu,kwa kutumia magari meusi,ilibadilishana "wafungwa wa kuteswa" sababu ya kuupinga uongozi wa watawala wa pande zote mbili.

Ni bahati mbaya watu hudhani damu ya mtu ni halali yao,kabla ya mawio na machweo,damu ya mtu huyu itakuwa imepiga kelele na kutoa kilio...haitawaacha watu salama!

Pole sana kwa familiabya Ben,mwanae wa kike ndugu,jamaa na marafiki.

Ahsante mkuu 'Barafu' kwa bandiko hili.

Hata kama siwajui "familia ya Ben", kama mTanzania mwenzao naipokea 'pole' ile kwa niaba yao.

Inaumiza sana, kwa 'uhai' wa mtu yeyote kupotea kwa sababu mtu mmoja mwenye madaraka anatumia madaraka yake akijua hatahojiwa na yeyote.
 
Fallacy is an error of thinking,thinking that a statement without a flight registration and a country of "Maziwa Makuu" is an error of thinking,then,who said this is a fallacy,might also have a sign of committing the same "fallacy"...A nature of parable is not a fallacy,but a way to make people think in a literally way
Atakuelewa kweli? I highly doubt it!
 
Ben Saanane inajulikana ni mpango wa Mbowe kumpoteza, haiwezekani eti msaidizi wako unaefanya nae kazi ofisi moja anapotea halafu wewe unaendelea na kazi zako kama kawaida hata kumtafuta hutaki, Mbowe Mungu anakuona mrudishe Ben Saanane wetu,
Yaani Mbowe apoteze mtu halafu aachwe? Kama amesota rumande kwa kuandamana tu na hakumpiga risasi akwilina na bado anasota mahakamani sembuse hawa watu amabao tuliambiwa na kalamagamba kwamba disappeared and died? Nadhani angekuwa mhusika asinekuwa uraiani muda mrefu.
 
Nae alikuwa mjinga tu tena mpumbavu. Wewe kwa nchi zetu hizi unaanza kihelehele cha kuanza kuhoji elimu ya mtu tena kiongozi inakusaidia nini?

Pambana, tafuta ugali wa wanao, hayo mengine waachie wenyewe basi.
Hujiona kwamba wew ndo jinga na pumbavu?Kwan kuna mtu hatakufa ?
 
Nimewaquote wawili kwa kutaka kumuuliza huyu MISULI. Sawa hawakukamatwa, ni kwanini hasa kwa vyombo vya dola vilivyo neutral na visivyofuata maagizo kutoka sehemu ?!.

Na je hawa wanaokamatwa na kuteswa ni nini matokeo ya uchunguzi kesi hizo ?! . Kwanini matukio mengine yawe ya kukamatwa na mengine siyo ?! Ukijibu bila mihemuko utajua kwanini watu wananung'unika.
Hao wanaokamatwa na kuteswa ni akina nani?
 
Ipo
Hayo mambo "nchi zetu hizi" ndiyo yana halalisha ujinga kukamata kasi.
Iweje vitu haramu vihalalishwe kwa sababu vimetendwa na mkuu?
Mambo mengine kujitafutia dhiki na shida kwako na familia yako utawala ukigeuka.
Imagine nchi inaangukia mikononi mwa MTU mwingine nje ya ccm na ukweli unawekwa hadharani unadhani muhusika atapata raha tena? Kina Jeska wataishi kwa amani tena? Tuache kutumia cheo kutenda dhambi.
Ipo siku kabla hawajafa watajibu walipo Hawa watu azory na Ben na risasi za lisu Mungu wetu ni mkuu na wanaowatetea Leo watawakana kesho amini hivyo !!
 
M
Wataacha vipi kupata heart attack kwa damu za watu,wanauwa usiku Mungu anawaumbua mchana huu msalaba wanao hadi watakapoondoka duniani, bado kuropoka tu.MTU akikuchallenge mchallenge,kelele za mlango zinakunyima vipi usingizi hali wwe baba mwenye nyumba. Ben,Azori nk walipotea mwanzoni mwanzoni kabla watu awajaanza kupiga kelele, bila kelele kina Nondo,MO,Roma,Ney wa mitego,Rafael ongang,msaidizi wa Membe,Kumbuka Dawson,Masudi Kipanya, list ni wengi hawa kwa uchache wasingekuwapo.Hoja ujibiwa kwa hoja
Mdude chadema
 
Hakuna yeyeto duniani aliyewezafunga au zuia sauti za watu kwa kuwauwa bali kwa kutenda haki..Kutenda haki ni gharama ndogo sana kuliko kuuwa watu katu utosafishika na DOA hadi utakapoondoka duniani.Aliyemuuwa dikteta Samwel Doe japo Leo ni mchungaji pamoja na kuchunga watu hakumuondolei hukumu DOA la kuitwa muuaji.
 
Heri wangewaachia miili ya ndugu zao
wahiifadhi ujue ndugu yangu alizikwa hapa kuliko sintofahamu hii mmuanue matanga au la.Ila Mungu atawalipia japo wanakila kitu lkn wamekosa amani ya moyo.
Ahsante mkuu 'Barafu' kwa bandiko hili.

Hata kama siwajui "familia ya Ben", kama mTanzania mwenzao naipokea 'pole' ile kwa niaba yao.

Inaumiza sana, kwa 'uhai' wa mtu yeyote kupotea kwa sababu mtu mmoja mwenye madaraka anatumia madaraka yake akijua hatahojiwa na yeyote.
 
Nae alikuwa mjinga tu tena mpumbavu. Wewe kwa nchi zetu hizi unaanza kihelehele cha kuanza kuhoji elimu ya mtu tena kiongozi inakusaidia nini?

Pambana, tafuta ugali wa wanao, hayo mengine waachie wenyewe basi.
Kwahiyo ilikuwa haki amuue ben? Utadhani tuna bongo za Sokwe mtu kuhojiphd ndio umuue
 
Back
Top Bottom