Wakuu mnaoshusha nondo JF hamuwezi toa nondo juu ya dots fulani fulani ili akina Saanane na Azory wapatikane ?

Huyo anazingua tu
Hazingui coz kuna tuhuma nyingi tu hajakamatwa. Mtu kutokamatwa haina maana yuko safi. Akina chenge, Lowasa na mafisadi wengine wamekamatwa?Waliotaka kumtia sumu zito walikamatwa?Waliotaka kumteka Meya Boniface walikamatwa?Waliomuua Chacha wangwe walikamatwa?Waliomtesa Msaidizi wa Slaa walikamatwa?So swala la kukamatwa au kutokamatwa kwa mshukiwa yyt Yule haina maana hausiki.
 
Ben Saanane sio Mbowe,bali ni yule aliyekuwa anahojiwa PhD yake ya kubangua maganda ya korosho aliipataje wakati paper yake ipo sawa na ya msimamizi wake?

Hiki ndio kimempoteza Ben,bahati mbaya Ben amepotea mwanzoni mwanzoni mwa utamaduni wa watu kupotezwa ndio unaanza anza.Watu wana roho mbaya sana,ndio maana wanakosa amani ya moyo,kutwa kucha kupanic na kukurupuka.Huwezi kuwa salama juu ya damu ya watu na maumivu ya familia zao.

Wewe umeugua tu kidogo,watu wakaunganishia na kifo,unaanza kusema "utu,utu,utu".Utu haujengwi kwa namna hiyo,utu na upendo ni matokeo ya kuheshimu uhai wa tajiri na masikini,kila mwanadamu ana thamani ya damu yake,mwanadamu mwenzie anapoitoa damu hiyo,ataweweseka yeye na vizazi vyake.Thamani ya utu haina mbadala sio madaraka wala amani ya nchi...Ndio maana hata leo ukimuuwa kichaa au chizi,lazima uwajibike,maana hatutaangalia ukichaa wao,nali utu wao.

Usiku wa manane,ndege aina ya CRJ,mali ya nchi moja ya maziwa makuu,kwa kutumia magari meusi,ilibadilishana "wafungwa wa kuteswa" sababu ya kuupinga uongozi wa watawala wa pande zote mbili.

Ni bahati mbaya watu hudhani damu ya mtu ni halali yao,kabla ya mawio na machweo,damu ya mtu huyu itakuwa imepiga kelele na kutoa kilio...haitawaacha watu salama!

Pole sana kwa familiabya Ben,mwanae wa kike ndugu,jamaa na marafiki.
Wataacha vipi kupata heart attack kwa damu za watu,wanauwa usiku Mungu anawaumbua mchana huu msalaba wanao hadi watakapoondoka duniani, bado kuropoka tu.MTU akikuchallenge mchallenge,kelele za mlango zinakunyima vipi usingizi hali wwe baba mwenye nyumba. Ben,Azori nk walipotea mwanzoni mwanzoni kabla watu awajaanza kupiga kelele, bila kelele kina Nondo,MO,Roma,mdude chadema,Ney wa mitego,Rafael ongang,msaidizi wa Membe,Kumbuka Dawson,Masudi Kipanya, list ni wengi hawa kwa uchache wasingekuwapo.Hoja ujibiwa kwa hoja.Wasiojulikana ni DOA kubwa sana la awamu hii wana nguvu kuliko dola imeshindwa kuwadhibiti.
 
Una maana Serikali na vyombo vyake vyoooooote inamuogopa huyo Mbowe? Mnajipendekeza hadi mnapitiliza kiasi cha kuidhalilisha Serikali.
Kwani waliopanga kumteka Meya Boniface walikamatwa?Waliotaka kumtia sumu zito walikamatwa?Waliompoteza Chacha wangwe walikamatwa?Au nawe unajipendekeza kwa Mbowe na genge lake?
 
Ben Saanane inajulikana ni mpango wa Mbowe kumpoteza, haiwezekani eti msaidizi wako unaefanya nae kazi ofisi moja anapotea halafu wewe unaendelea na kazi zako kama kawaida hata kumtafuta hutaki, Mbowe Mungu anakuona mrudishe Ben Saanane wetu,
Kadri siku zinavyokwenda laki si pesa naoa ndivyo akili yako inavyolala doro
 
Kimsingi kumekuwa na kundi kubwa ambalo ni kama limeshakuwa brainwash kusifia tu mapigo ya number 1.Yaani kwao yule ni zaidi ya Mungu eti hakosei.
Watanzania wanaugua mno kwa yanayoendelea ndio maana wanaombea mabaya yazidi kuwakumba waasisi wa huu ukwapuaji wa haki za wa tz ulionza awamu hii.
 
Acha kutuchafulia uzi nenda kwenye majukwaa yako kule Facebook.
Najua mazuri na mnayoyataka hapa ni kuponda jiwe. Mnataka uhuru wa kujieleza lkn hamtaki kusikia yasiyowafurahisha, mnaakili kweli nyie?
 
Kimsingi kumekuwa na kundi kubwa ambalo ni kama limeshakuwa brainwash kusifia tu mapigo ya number 1.Yaani kwao yule ni zaidi ya Mungu eti hakosei.
Watanzania wanaugua mno kwa yanayoendelea ndio maana wanaombea mabaya yazidi kuwakumba waasisi wa huu ukwapuaji wa haki za wa tz ulionza awamu hii.
Na vilevile kuna kakundi kameibuka wao ni kupinga kila kitu na kuzua mambo ya ajabu ajabu kila wakati. Kumbuka hili pia.
 
Wakuu Habari
Nimepitia bandiko la jana la Bwana na kaka yangu Pascal Mayalla kuhusu ukosoaji na usifiaji lakin kwa jinsi alivyozishusha nondo ukiwa unasoma unasisimkwa mwili,
Niliwahi kumshauri hata Huyo bwana Msiba juu ya ulichosema

siku hizi mi ni mzembe wa kuandika, lakin ngoja niandike tu haijarishi Kama kweli uzi utafutwa au utahaririwa na Mods,

Kuna Kipengele umesema wanaokosoa wanakuwa vichaa kudhani kila movement mbaya dhid ya wapinzani inafanywa na serikali, lakin inaonesha kwamba wachambuzi Kama ninyi mnakaa kimya Sana mnachambua mambo kwa uoga sana hadi inasikitisha sana kuona hata baadhi ya Ukweli mdogo mdogo mnaogopa kuchambua,

Taifa lilivyo kwa sasa tusifichane linahitaji kiongozi mwenye kujenga upendo na umoja wa kitaifa mwaka 2025
Niliyasema kwenye Uzi huu hapa Kuwa sawa Magufuli anafanya makubwa kama ujenzi wa miundo mbinu, lakin Mioyo mbinu haiko powaa

Tunategemea mlete nyuzi basi za kuondoa sintofahamu juu ya kupotea kwa Ben saanane na Azory gwanda,
Kupigwa Risasi Kwa Tundu lissu,

Maana ukosoaji unaosaidia taifa ni Kama nilioandika Kwa Uzi huu chini mpaka nikaanza kuambiwa nahujumu maendeleo ya Taifa ,yaan ukitoa ushauri chanya utaambulia matusi na kutangazwa adui wa Taifa wa Kimya kimya, Kuna kundi la WhatsApp la watu nyeti la kujadili jinsi ya kuwakamata wanaokosoa

Sina shaka kabisa na uchambuzi wenu ambao unaonesha hamna upande ,ila kuweza kuwashawish watanzania kuwa upande fulani haukuhusika kwenye matukio mazito kama hayo?

Ninyi ni wachambuzi na waandishi wa habari, mtazipata wapi nobble prizes, au mtajivunia kwamba mlilisaidia taifa?

Haki ya Mungu msipoandika, mkanyamaza, wapinzani wasiposema wakaogopa, wasemaji wa haki za Binadamu wasiposema BASI MUNGU ATATENDA

NB Mimi ni Mwana CCM ambaye nimepata kadi kwa kuisomea siyo ya kuokota kwenye mikutano ya hadharaNashangaa hao waliopewa kadi kwenye mikutano ya adhara kama kina Asenga waliwahi kunisumbua sana kwa uzi huu

Britanicca
Wakati mwingine hua una hoja . Wapatikane wana ccm wenye maono na ujasiri wa kutamka mambo haya. Tutakuwa na Tz iliyoitangulia paradiso kwa wote.
 
Wakuu Habari

NB Mimi ni Mwana CCM ambaye nimepata kadi kwa kuisomea siyo ya kuokota kwenye mikutano ya hadharaNashangaa hao waliopewa kadi kwenye mikutano ya adhara kama kina Asenga waliwahi kunisumbua sana kwa uzi huu

Britanicca

MKuu kwani Malaika Mkuu naye si aliokotwa tu na kupoewa Ubunge au na yeye alipita magogoni pale ?
 
Ben Saanane sio Mbowe,bali ni yule aliyekuwa anahojiwa PhD yake ya kubangua maganda ya korosho aliipataje wakati paper yake ipo sawa na ya msimamizi wake?

Hiki ndio kimempoteza Ben,bahati mbaya Ben amepotea mwanzoni mwanzoni mwa utamaduni wa watu kupotezwa ndio unaanza anza.Watu wana roho mbaya sana,ndio maana wanakosa amani ya moyo,kutwa kucha kupanic na kukurupuka.Huwezi kuwa salama juu ya damu ya watu na maumivu ya familia zao.

Wewe umeugua tu kidogo,watu wakaunganishia na kifo,unaanza kusema "utu,utu,utu".Utu haujengwi kwa namna hiyo,utu na upendo ni matokeo ya kuheshimu uhai wa tajiri na masikini,kila mwanadamu ana thamani ya damu yake,mwanadamu mwenzie anapoitoa damu hiyo,ataweweseka yeye na vizazi vyake.Thamani ya utu haina mbadala sio madaraka wala amani ya nchi...Ndio maana hata leo ukimuuwa kichaa au chizi,lazima uwajibike,maana hatutaangalia ukichaa wao,nali utu wao.

Usiku wa manane,ndege aina ya CRJ,mali ya nchi moja ya maziwa makuu,kwa kutumia magari meusi,ilibadilishana "wafungwa wa kuteswa" sababu ya kuupinga uongozi wa watawala wa pande zote mbili.

Ni bahati mbaya watu hudhani damu ya mtu ni halali yao,kabla ya mawio na machweo,damu ya mtu huyu itakuwa imepiga kelele na kutoa kilio...haitawaacha watu salama!

Pole sana kwa familiabya Ben,mwanae wa kike ndugu,jamaa na marafiki.
Kab is a

bahati mbaya watu hudhani damu ya mtu ni halali yao,kabla ya mawio na machweo,damu ya mtu huyu itakuwa imepiga kelele na kutoa kilio...haitawaacha watu salama!
 
Una maana Serikali na vyombo vyake vyoooooote inamuogopa huyo Mbowe? Mnajipendekeza hadi mnapitiliza kiasi cha kuidhalilisha Serikali.
Hazingui coz kuna tuhuma nyingi tu hajakamatwa. Mtu kutokamatwa haina maana yuko safi. Akina chenge, Lowasa na mafisadi wengine wamekamatwa?Waliotaka kumtia sumu zito walikamatwa?Waliotaka kumteka Meya Boniface walikamatwa?Waliomuua Chacha wangwe walikamatwa?Waliomtesa Msaidizi wa Slaa walikamatwa?So swala la kukamatwa au kutokamatwa kwa mshukiwa yyt Yule haina maana hausiki.
Nimewaquote wawili kwa kutaka kumuuliza huyu MISULI. Sawa hawakukamatwa, ni kwanini hasa kwa vyombo vya dola vilivyo neutral na visivyofuata maagizo kutoka sehemu ?!.

Na je hawa wanaokamatwa na kuteswa ni nini matokeo ya uchunguzi kesi hizo ?! . Kwanini matukio mengine yawe ya kukamatwa na mengine siyo ?! Ukijibu bila mihemuko utajua kwanini watu wananung'unika.
 
Back
Top Bottom