Kamati ya hamasa ya Taifa Stars ipo wapi? Hao akina Joti na Mwijaku wamehamasisha nini?

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,052
24,443
Yaani hii nchi Ina vitu vinachekesha kweli kweli!

Mwanzoni mwa mwezi huu wa January wizara ya michezo na ilitangaza kamati ya hamasa Kwa ajili ya kuhamasisha mashabiki kuishangilia taifa stars.

Watu mbalimbali akiwemo Joti, Mwijaku, Baba levo, Eng Hersi n.k waliteuliwa lakini Cha kushangaza haieleweki hii kamati hizo hamasa inafanyia wapi!

Hivi Sasa taifa stars ipo Ivory coast inashiriki mashindano ya kumtafuta bingwa wa Africa ila haieleweki Hersi na wenzake akina Mwijaku hamasa wanafanyia wapi, maana hata kusikia wakizungumzia timu ya taifa hicho kitu hakionekana wala kusikika!

Hebu wizara na wadau wengine wanajua hii kamati ilipo watuambie!
 
Mwanzoni mwa mwezi huu wa January wizara ya michezo na
ilitangaza kamati ya hamasa Kwa ajili ya kuhamasisha mashabiki kuishangilia taifa stars.
Watu mbalimbali akiwemo Joti, Mwijaku, Baba levo, Eng Hersi n.k waliteuliwa lakini Cha kushangaza haieleweki hii kamati hizo hamasa inafanyia wapi!
Hivi Sasa taifa stars ipo Ivory coast inashiriki mashindano ya kumtafuta bingwa wa Africa ila haieleweki Hersi na wenzake akina Mwijaku hamasa wanafanyia wapi, maana hata kusikia wakizungumzia timu ya taifa hicho kitu hakionekana wala kusikika!
Hebu wizara na wadau wengine wanajua hii kamati ilipo watuambie!

Tunaomba Zanzibar tuwe na timu yetu ya Taifa.Wabara hamjui mpira huo ndio ukwelii
 
Kufungwa tu miaka yote hakuna mabadiliko.

Mpira wetu umejaa siasa nyingi.

Wachezaji ukiachana na viwango duni pia hawajitumi kabisa.

Yaani unaangalia ila huoni mchezaji ambae ana cheza kwa kujitoa.
 
Iko wazi kuwa taifa letu tunategemea klabu zitulelee wachezaji timu ya taifa.

Klabu nazo zimejaa wachezaji toka nje ya Tanzania tena reject.

Vijana wa ndani hawana nafasi ya makuzi kisoka. Tumebaki na wazee akina Samata. Kipigo halali yetu.

Nilisema awali, kwa moroco hatuchomoi. Tena tushukuru walipoamua kupunguza mastaa kama akina Ashraf Hskim baada ya kuona wana uhakika wa kushinda.

Tukumbuke Morocco siyo Waafrika.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Morocco kwenye kombe la dunia walisema,wao sio waafrika🤣wakiamka asubuhi wanaliona jua la Ufaransa
Hatuna timu ya taifa
Ila tuna mavuvuzela ya team ya taifa,kina joti,mwijaku,shafii et Al 🤣
 
Morocco kwenye kombe la dunia walisema,wao sio waafrikawakiamka asubuhi wanaliona jua la Ufaransa
Hatuna timu ya taifa
Ila tuna mavuvuzela ya team ya taifa,kina joti,mwijaku,shafii et Al
Stars ingeshinda hizi mechi mbili ilizocheza ungesikia akina Mwijaku na baba levo wakisemo bila wao isingeshinda!!
...akina Oscar wangesema wao Kama wanakamati ndio waliipa timu mbinu!
 
Yaani hii nchi Ina vitu vinachekesha kweli kweli!

Mwanzoni mwa mwezi huu wa January wizara ya michezo na ilitangaza kamati ya hamasa Kwa ajili ya kuhamasisha mashabiki kuishangilia taifa stars.

Watu mbalimbali akiwemo Joti, Mwijaku, Baba levo, Eng Hersi n.k waliteuliwa lakini Cha kushangaza haieleweki hii kamati hizo hamasa inafanyia wapi!

Hivi Sasa taifa stars ipo Ivory coast inashiriki mashindano ya kumtafuta bingwa wa Africa ila haieleweki Hersi na wenzake akina Mwijaku hamasa wanafanyia wapi, maana hata kusikia wakizungumzia timu ya taifa hicho kitu hakionekana wala kusikika!

Hebu wizara na wadau wengine wanajua hii kamati ilipo watuambie!
Wewe umezuiwa kuhamasisha? Ni bure .
 
Kwangu mimi naona Bongo zozo ndiye kiumbe anayestahili pongezi. Jamaa anajituma sana kuitangaza Tanzania. Hao wengine ni wapuuzi tu.
 
Yaani hii nchi Ina vitu vinachekesha kweli kweli!

Mwanzoni mwa mwezi huu wa January wizara ya michezo na ilitangaza kamati ya hamasa Kwa ajili ya kuhamasisha mashabiki kuishangilia taifa stars.

Watu mbalimbali akiwemo Joti, Mwijaku, Baba levo, Eng Hersi n.k waliteuliwa lakini Cha kushangaza haieleweki hii kamati hizo hamasa inafanyia wapi!

Hivi Sasa taifa stars ipo Ivory coast inashiriki mashindano ya kumtafuta bingwa wa Africa ila haieleweki Hersi na wenzake akina Mwijaku hamasa wanafanyia wapi, maana hata kusikia wakizungumzia timu ya taifa hicho kitu hakionekana wala kusikika!

Hebu wizara na wadau wengine wanajua hii kamati ilipo watuambie!
Wamehamasisha tusishinde hata wapinzani wakicheza na wachezaji 10
 
Back
Top Bottom