Wakuu, mke wangu nimemchoka

Tafuta katoto lika la Paula jilie uko nje mpka dudu iume ukirud ndan unatulia zako tu somtme acha ma msg ya madem wengne kwenye simu usiangaike nae kumwomba sex mpka atajirekebsha mwenyew.. Tatizo familia zetu za kiafrika mwanaume hana pa kushtak kwenye familia kama ananyimwa tundu la uzuni kwaio na ww mkalie kimya akikisha unavdem vyako viwil vtatu uko nje vya kuvikunja kisawa sawa. Huu n ukwel ambao hata msmamiz wa ndoa yenu hata kwambia
Sometimes pia ondoka nyumbani lala nje mwezi mzima akipiga simu unawapa mademu wapokee wamtukane matusi makubwa
 
Mi nahisi kama ulikosea mzee. Ila haujachelewa. Fanya hivi:

1. Kama umepanga, fanya mchakato siku akienda kwa ndugu zake we HAMA kimya kimya na usimuambie mtu ulipohamia.

2. Akija akute haupo. Akikuuliza kwea simu mwambie umerudi kwa wazazi wako au ndugu yako au rafiki yako.

3. Akija kazini kwako (naamini anapajua), mchenge ila kwako usimpeleke. Hadi ahisi unaishi na mwanamke mwingine.
Ukifunga nae Ndoa sio suala binafsi tena.
Anaweza hitisha kikao Cha Ukoo na wakaitika.
Yalimkuta kaka yangu.
Na maamuzi yaliyotolewa hakuweza kuyapinga
 
Mkuu aliniaga anaend kwa baba ake kusalmia..kila siku kusalmia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tbia inazd kua mbaya tu..

Mkuu tatizo unalo wewe binafsi kwa sababu nina uhakika wa asilimia zote kuwa hiyo tabia haikuja kwa ghafla Ila uliilea mwenyewe ,

kwa kuwa uliidharau mipaka yako kama mwanaume na kukosa kusimamia nafasi yako kwenye mahusiano hadi ukuvumilia dharau na makosa yake kwa kuhisi unampenda. Bhasi imeshageuka tabia

Umekosa sauti ya mamlaka kwa jinsi unavyolalamika na kujishusha kupitiliza kiasi anakuchukulia poa..

Shtuka kaka, tengeneza thamani yako iwe ndani au nje ya ndoa yako. Acha kuwa desperate na kutaka kujaliwa na upendo ambao hupewi.

Acha kubembeleza, acha kujilizaliza..
Anza kujipenda wewe sasa, focus na kutafuta hela, vaa vizuri, kula vizuri na uanze kufuatilia vitu vinavyokupa furaha
.
Anachokubania usimuombe na uanze kucheza muziki wake anavyotaka. Kuwa adimu, kuwa wa nadra, usiwe cheap cheap , jipandishe thamani yako mkuu...

Mpe muda wa kukumiss, mpe nafasi ya kuona kuwa huko nje kuna watu wanatamani kuziba nafasi yake... Asiposhtuka bhasi hapo huna chako unless una udhaifu ambao anautumia kama fimbo ya kukuadhibia ndio maana hufurukuti
 
Back
Top Bottom