Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,275
- 1,077,680
Kwenye uchumba alikuwaje? Hukuziona hizi tabia au ulikurupuka bila kumwelewa vizuri?Zaramo..Na nishajaribu kuresolve kwa kureport kwa mshenga na wazazi pia ila bado yupo vle vle tu..Mwishowe nikaambiwa nimewatukana wazazi wake..Sasa nataka nifanye maamuzi bila kuripoti.