Umeoa au mmeoana?Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..
Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
mchaneWe nae acha kujilalamisha,kama umeongea nae habadiliki wa nini sasa utapoteza muda na kushindwa kuwa na maisha,hakuna ndoa isio na furaha amani kukawa na maendeleo,achana nae halafu inaonekana Dem ulimpenda sana wewe ndo maana ankuburuz...
Mkuu pole sana huyo kuna mhuni anampa penzi na inavyoonekana ndiye anaempa formula ya namna ya kukusumbua nakushauri piga chini urefushe maisha yako au uendelee nae ili uwahi kwa muumba chaguo ni lako.gudluck boyMkuu aliniaga anaenda kwa baba ake kusalimia..kila siku kusalimia tu..mie namkubalia tu..na ndo maana tunachat sbb yupo kwa baba ake..tushakaa chini mkuu zaidi ya mara 30..ndo kwnz tabia inazidi kuwa mbaya tu..
Asee, me nakuunga mkono, sina tofauti na wewe, nilishaona kwa style hii hakuna balance, kama kila jambo lazima nianze mimi, manake ni utumwa wa ndoa, thanks God sikufunga ndoa, sasa nimeamua hivi:Zaramo..Na nishajaribu kuresolve kwa kureport kwa mshenga na wazazi pia ila bado yupo vle vle tu..Mwishowe nikaambiwa nimewatukana wazazi wake..Sasa nataka nifanye maamuzi bila kuripoti.
I can feel what you are going through, mimi mmoja wao, sasa Nishachagua kujipa furaha mwenyewe, Wanaume huruma huwa zinatuponza sana, anyway,ktk ndoa yng toka nimuoe mwezi wa 8..last time nmemuomba mbususu mwezi wa 9 mwanzoni..tena hyo ni mara ya 5..hakuonyesha kukubali..na aliponipa sikuona ushrkiano wwte..kama hakupenda vile..na mby zaid Jeuri mno..
🤣🤣🤣🤣🤣tundu la uzuni
Mh jaman[emoji3][emoji3]Sometimes pia ondoka nyumbani lala nje mwezi mzima akipiga simu unawapa mademu wapokee wamtukane matusi makubwa
Mtafutie mke wa pili [emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..
Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Kama anatumia njia ya uzazi wa mpango aache hizi huleta tabia hiziHabari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..
Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Pole mkuu.Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..
Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Habari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..
Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Nililetewa hizi pigo na mke wangu nilichokifanya kila siku kuomba na akikataa natumai nguvu.
Nikituma meseji asipojibu nakoroma
Nyie mnapata adi muda kuchat kuanzia saa nne na nusu usiku [emoji23][emoji23][emoji23]... baadoo saanaHabari wakuu.. mke wngu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume..
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka jana sijasex nae zaidi ya mara 5 na zote naanza mimi kudai penzi though No Mutual Connection..
Mke meseji ninamtumia saa1 asubuhi kujibiwa saa10 jioni. Since Day 1 ya ndoa yangu..sijapata Raha yoyote ile zaidi ya karaha tu.. Leo nimeamua kumtolea uvivu.. WAKUU TUSIKURUPUKE KUOA.
Mkuu najuta sana ktk maisha yangu..Mwanzo alikuwa hivi na alinipromise nikioa ataacha..nikamuamini..