Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo?

Ile nayootaga ni hii mungu nijalie nipate Pesa nimiliki hii gari Tu

Suzuki jimmy 2020
Screenshot_20240515-203648.jpg
 
I'm still whipping in Bajaji's,sio kwamba sipendi gari,la hasha,uchumi tu,

siku nikipata Camaro Chevy,kishoka,miguu kwenye dashboard,speed 10,nyimbo mbili tu,Pamba nyepesi ya Inspector,au RIDING ya chameleon...
 
Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
Umo sahihi mkuu, ukiwa na crown Kwanza u feel proud barabarani, unavimba na hata watu hugeuka kukuangalia ni mtu wa aina gn uliyeweza kununua athlete crown, it's a most youth's dream kwa anayejua gari, unapata speed, comfortability, enjoyment na hata moyo husuuzika kujisikia upo kweny crown.


Naifananisha na kjana anayetembea na mwanamke mrembo na mzuri barabarani, kila mtu hugeuka kukutazama umempataje, 😄

Wengi hulalamika kuhusu fuel consumption ila mfano mm hapa mjini hua natembea na 20km/hr au 25km/hr na wese haliendi, kwaiyo ni ww mwenyewe unavyotaka utembee vp barabarani.
 
Mungu baba kabla sijafa nipate Ford Ranger Raptor, hizi chuma hata nikiwa barabarani nikiiona lazima nisimame niiangalie. Ntaidaka tu
 
Back
Top Bottom