Wakuu hapa kuna mimba?

Ikiwa mlilombana kati ya March 29 na April 6 au 7 uwezekano mkubwa imo😍🤾‍♂🤼‍♀👨‍👨‍👦👨‍❤️‍💋‍👨
Mkuu mpaka sasa bado hedhi imegoma kuonekana alafu analala lala sana sijui ndio kweli ni mimba.
 
J3 atapima kama bado
 
Unapenda kipindi wewe
 
Basi ni vizuri kama wewe utakuwa ni "fake beta male" na sio "real beta male" kma ambavyo nimekuwa nikikuchukulia, japo kwa hii post yako ya leo inaonesha wewe nj real beta ndio maana huyo demu anakuchezea akili kwa kutaka ulee mimba fake.
Huo mchezo hawezi mkuu na akiweza sio kwangu, huyu n ke wa malengo mkuu sio wa kupita ndio maana niliuza mechi, huwa siuzi mechi.
 
Huyu nipo tayari kwa lolote ndio maana condom nilitumia tu round ya kwanza.
 
Asante mkuu
 
Kwa kuwa umeuliza ukiwa serious mkuu Hebu tufanya hapa ni kama sehemu ya kuchukua majibu/ushauri wa ziada ila anza na kutafuta majibu kwa kuuliza kwenye search engines mbalimbali
Nmefanya hivyo mkuu nimeanza kuelewa inawezekana ni mimba.
 
Mkuu, inamaana ushauri woote unaotoaga huwa ni FEKI ?

Kwamba wewe leo ni wa kusema sio mjuvi wa hizi mambo kweli
Kwenye ishu ya kalenda niwe muwazi sijui ila leo ndio nimejua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…