Wakuu hapa kuna mimba?

Half american kwa comments zako humu ninavyokusomaga wewe na mwenzako Tsh ni aina ya wanaume ambao huwa mnachezewa sana akili na wanawake.
Endelea kunisoma mkuu, maisha ya comments hayana uhalisia wangu kwa asilimia kubwa sana nna masikhara mengi sana ila uhalisia ni tofauti. Na ndio tabia za sisi Keyboard woria.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…, mkuu ni kale kamchepuko, kale ka siku ile mke awe ameshika simu yako wakati mnakula msosi, na ukamaliza msosi ndani ya sekunde tano ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ??
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…, mkuu ni kale kamchepuko, kale ka siku ile mke awe ameshika simu yako wakati mnakula msosi, na ukimaliza msosi ndani ya sekunde tano ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ??
Huyo sio mchepuko, huyo ndio mamtu mwenyewe, kuchepuka nishaacha mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ