MarahabaWakurya watatu wakiwa kwenye daladala...
Mkurya wa kwanza.. "dereva sukisa mimi hapa..
Mkurya wa pili... "inaonekana una chinda ya maneno dugu"...
Mkurya wa tatu.. Huku akicheka "wewe bana jeka mwenzako nyi wote mna chinda ya kubronounce..!!!
umetumwa
i knew it
Humu JF utoto mwingi na wengi hawana la maana la kuandika!!!inatusaidia nini katika maisha ya kisasa?