Wakurya shikamooni....!!!

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
4,669
8,669
Wakurya watatu wakiwa kwenye daladala...
Mkurya wa kwanza.. "dereva sukisa mimi hapa..
Mkurya wa pili... "inaonekana una chinda ya maneno dugu"...
Mkurya wa tatu.. Huku akicheka "wewe bana jeka mwenzako nyi wote mna chinda ya kubronounce..!!!
:D:D:D:D
 
Marahaba
 
Natamani sana kujua tabia za mabinti wa kikurya.

Na je kama hajakulia kabisa huko Tarime pia atakuwa mkatili?
 
Back
Top Bottom