Wakurugenzi wa Makampuni ya Mafuta ya PUMA, Oryx, TOTAL na Lake Oil wakamatwa na Polisi kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji!

K
Polisi jijini Dsm imewakamata wakurugenzi wakuu wa kampuni za mafuta za Puma, Total na Oryx waliokuwa kwenye kikao cha kibiashara.
Kadhalika polisi wanamsaka mkurugenzi mkuu wa Lake Oil ili aunganishwe na wenzake.

Imeelezwa wakurugenzi hao wanadaiwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini.

Chanzo: ITV habari!
Kwa kuwa mtu ni mfanyabiashara basi awe huru kuvunja sheria za nchi?!!!!

Mwalimu Nyerere alipata kuwasemea watu wa AINA hiyo....

"Wana mfuko gani mkubwa wa kuniweka mm Nyerere nikatosha"?!!!

Zama zimebadilika Mana nakumbuka mh.Pinda alipata kusema kuwa "MAFISADI wana Mkono MREFU,MAFISADI wana mitandao yenye NGUVU"

SASA HEBU FIKIRI KIDOGO...
WAZIRI mkuu...mtendaji mkuu wa serikali...anasema hiyo mijamaa ni noma...halafu anatokea mtu aitwae BENARD MEMBE na kudai Sasa hv NCHI IMEPOTEA HAKUNA TUME HURU na turudi kule "kanani" tutokako.....
Km Kanani yenyewe NDIYO ile ALIYOILALAMIKIA mh.Pinda,basi nendeni nyinyi,mniache SIITAKI.
 
hii kitu ni kweli.,hawa wapimbavu kuna michezo wanataka kufanya mfano kijichi tuna sheli moja tu ya oilcom lakini siku hizi kuambiwa hakuna mafuta ni jambo la kawaida
 
Back
Top Bottom