Huo ndiyo uwongo tunaosema kila siku....tembelea magereza ndiyo utajua wapo wakinanani....Tatizo lako unafikiri fisadi Ni Liwassa tu.
Inamaana hujaelewa kabisaa hoja ya mchangiaji?Daah we kilaza kweli!!!Hajalishi wewe Ni mwanasheia au siyo mwanasheria....DED watabaki kuwa wasimamizi wa Uchaguzi.
Sa unatofauti gani na mleta thread!unauelewa mdogo sana wa sheria wewe....hujui lolote hapo ulipo kwa utumbo ulioandika hadi nimejiskia kuchoka.......hunaga point wewe mtu yani unever make sense afu uwa unajiona upo ok upstairs but your a big fooooooooool
ACHA KUWASHWA WASHWA KWANI UNAOGOPA NINI WE MONITOR LIZARDHao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
UpuuziNimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu masuala ya Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi hasa baada ya Mahakama kutoa tafsiri ya sheria za Uchaguzi.
Pamoja na Mahakama kutoa tafsiri ya sheria ya Uchaguzi lakini naona uwezekano wa Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi itakuwa pale pale kwasababu wabunge wote waliotangazwa na hao Wakurugenzi wako Bungeni na wanaendelea na majukumu yao ya kibunge kwa mujibu wa sheria na inaoneka sheria ni halali na ndiyo maana hakuna hata mmoja aliyesema kuwa si Mbunge halali.
Hizo kelele na harakati zinazoendelea kwenye mitandao naona Sasa na tu kutwanga pilipili mwishowe ni machozi tu.
Hao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
Nimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu masuala ya Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi hasa baada ya Mahakama kutoa tafsiri ya sheria za Uchaguzi.
Pamoja na Mahakama kutoa tafsiri ya sheria ya Uchaguzi lakini naona uwezekano wa Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi itakuwa pale pale kwasababu wabunge wote waliotangazwa na hao Wakurugenzi wako Bungeni na wanaendelea na majukumu yao ya kibunge kwa mujibu wa sheria na inaoneka sheria ni halali na ndiyo maana hakuna hata mmoja aliyesema kuwa si Mbunge halali.
Hizo kelele na harakati zinazoendelea kwenye mitandao naona Sasa na tu kutwanga pilipili mwishowe ni machozi tu.
Hao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
Mbona unaleta hoja za mabavu humu!!!?Hajalishi wewe Ni mwanasheia au siyo mwanasheria....DED watabaki kuwa wasimamizi wa Uchaguzi.
Nadhani Kinyungu amekupa jibu sahihi la hoja yako lakini wewe unaleta mipasho.Hajalishi wewe Ni mwanasheia au siyo mwanasheria....DED watabaki kuwa wasimamizi wa Uchaguzi.
Hapa bongoland hata shamba la mahindi kulindwa na ngedere ni poa!Nimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu masuala ya Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi hasa baada ya Mahakama kutoa tafsiri ya sheria za Uchaguzi.
Pamoja na Mahakama kutoa tafsiri ya sheria ya Uchaguzi lakini naona uwezekano wa Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi itakuwa pale pale kwasababu wabunge wote waliotangazwa na hao Wakurugenzi wako Bungeni na wanaendelea na majukumu yao ya kibunge kwa mujibu wa sheria na inaoneka sheria ni halali na ndiyo maana hakuna hata mmoja aliyesema kuwa si Mbunge halali.
Hizo kelele na harakati zinazoendelea kwenye mitandao naona Sasa na tu kutwanga pilipili mwishowe ni machozi tu.
Hao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
mkuu hiyo sheria ikipita inamaana itatumika kwenye chaguzi zijazo.hizo zilizopita zimesha pita.mbona sheria kiboa zinapitishwa bungeni baadae zinaonekana zinamapungifu zinaludishwa tena bungeni zinajadiliwa upya wanapata sheria mpya,kwa hiyo nikitu cha kawaida.haitoathiri kitu chochote.Nimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu masuala ya Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi hasa baada ya Mahakama kutoa tafsiri ya sheria za Uchaguzi.
Pamoja na Mahakama kutoa tafsiri ya sheria ya Uchaguzi lakini naona uwezekano wa Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi itakuwa pale pale kwasababu wabunge wote waliotangazwa na hao Wakurugenzi wako Bungeni na wanaendelea na majukumu yao ya kibunge kwa mujibu wa sheria na inaoneka sheria ni halali na ndiyo maana hakuna hata mmoja aliyesema kuwa si Mbunge halali.
Hizo kelele na harakati zinazoendelea kwenye mitandao naona Sasa na tu kutwanga pilipili mwishowe ni machozi tu.
Hao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
Kuna haja ya kuwa na uelewa kidogo wa sheria, sheria hutumika pale ilipotungwa na hata ikitenguliwa tenguo lake hutumika kuanzia pale hukumu ya tenguo ilipotoka,Nimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu masuala ya Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi hasa baada ya Mahakama kutoa tafsiri ya sheria za Uchaguzi.
Pamoja na Mahakama kutoa tafsiri ya sheria ya Uchaguzi lakini naona uwezekano wa Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi itakuwa pale pale kwasababu wabunge wote waliotangazwa na hao Wakurugenzi wako Bungeni na wanaendelea na majukumu yao ya kibunge kwa mujibu wa sheria na inaoneka sheria ni halali na ndiyo maana hakuna hata mmoja aliyesema kuwa si Mbunge halali.
Hizo kelele na harakati zinazoendelea kwenye mitandao naona Sasa na tu kutwanga pilipili mwishowe ni machozi tu.
Hao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
Umesikika....Kuna haja ya kuwa na uelewa kidogo wa sheria, sheria hutumika pale ilipotungwa na hata ikitenguliwa tenguo lake hutumika kuanzia pale hukumu ya tenguo ilipotoka,
Mf:Baba yako akisema watoto wake wote watazaliwa hospital ya Temeke basi wewe uliezaliwa Meta Mbeya hutokuwa mwanawe?
Okmkuu hiyo sheria ikipita inamaana itatumika kwenye chaguzi zijazo.hizo zilizopita zimesha pita.mbona sheria kiboa zinapitishwa bungeni baadae zinaonekana zinamapungifu zinaludishwa tena bungeni zinajadiliwa upya wanapata sheria mpya,kwa hiyo nikitu cha kawaida.haitoathiri kitu chochote.
Hakuna popote pale pameandikwa kuwa sifa moja ya kuteuliwa kuwa DED ni lazima uwe na kadi ya CCM...CCM kama wanashinda kihalali hapa ndipo wangethibitisha kwa kuunga mkono hukumu ya mahakama na siyo kung'ang'ania wakurugenzi waendelee kusimamia uchaguzi wakati ni kinyume na katiba,na wasinge hangaika kukata rufaa kwenye jambo nyeti kama hili kwa kuwa wanazidi kuthibitisha kuwa wao ndio wanaofaidika na wakurugenzi isivyo halali.
Sa unatofauti gani na mleta thread!
Jikite kwenye hoja. Jibu hoja kwa hoja. Mambo ya utumbo hayasaidii sana lasivyo utaonekana immature.