Mr Morogoro
JF-Expert Member
- Apr 23, 2019
- 1,246
- 1,727
Kama mimi nilivyopoteza muda wangu kukujibuSina muda wa kukujibu
Kama mimi nilivyopoteza muda wangu kukujibuSina muda wa kukujibu
Hakika we unamatatizo ya ubongo nimekuambia soma soma katiba inasemaje? Vinginevyo unaongea mipashoHakuwaanza leo toka hujazaliwa hao ndiyo wasimamizi wa Uchaguzi kwa mujibu wa sheria...hata mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi na wewe ndiyo unazaliwa hao waliendelea kuwa wasimamizi na Sasa ndiyo nakuambia hao ndiyo wasimamizi kwa taarifa yako.
Pimbi we we kama Chama kinakubalika mbona mnataka refs awe wen u? Hahaha Bila policy na usalama wepesi nyietume huwa huru kwa yule aliyeshimda uchaguzi pekee.
Hakuwaanza leo toka hujazaliwa hao ndiyo wasimamizi wa Uchaguzi kwa mujibu wa sheria...hata mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi na wewe ndiyo unazaliwa hao waliendelea kuwa wasimamizi na Sasa ndiyo nakuambia hao ndiyo wasimamizi kwa taarifa yako.
Uko sahihi kabisa, tatizo ni kwa wale wanaowateua makada wa ccm ambao wamesababisha yote haya.Hakuna popote pale pameandikwa kuwa sifa moja ya kuteuliwa kuwa DED ni lazima uwe na kadi ya CCM...
Pamoja na Mahakama kutoa tafsiri ya sheria ya Uchaguzi lakini naona uwezekano wa Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi itakuwa pale pale kwasababu wabunge wote waliotangazwa na hao Wakurugenzi wako Bungeni na wanaendelea na majukumu yao ya kibunge kwa mujibu wa sheria na inaoneka sheria ni halali na ndiyo maana hakuna hata mmoja aliyesema kuwa si Mbunge halali.
MUNGU AKUBARIKI KWA UFAFANUZI MZURIHongera kwa kufuatilia lakini bado hujaelewa kaa chini tukupe somo sie wajuvi wa mambo.
Kwanza sheria ya utumishi wa umma inakataza wakurugenzi kuwa wanachama wa chama cha siasa na namna ya kuwapata wakurugenzi sheria imetoa utaratibu kwa serikali za mitaa kusimamia. Mkurugenzi ni lazima ateuliwe kutoka miongoni mwa watumishi wa umma ambaye ana sifa stahiki.
Pili Katiba ya Nchi imezuia mtu anayesimamia Uchaguzi kuwa mwanachama wa Chama cha siasa.
Hivyo jiwe amevunja sheria na kukanyaga katiba kwa makusudi ili kupendelea chama chake na genge hilo la wanyanga'anyi.
Wabunge waliopo ni halali kwa kuwa walitangazwa na wakurugenzi ambao hawakuwa na vyama vya siasa alio wateua Kikwete kwa kufuata sheria na Katiba.
Wakurugenzi ambao wakisimamia uchaguzi uchaguzi huo utakuwa ni batili ni hawa wa Magu aliowateua kwa kuvunja sheria na Katiba ya nchi.
Ndio maana mahakama imepelekewa Majina ya wakurugenzi 77 Makada wa CCM na mahakama ilipo jiridhisha kwamba ni kweli hao ni makada wa ccm haikupepesa macho wala kumung'unya maneno na kusema kuwa ni Ubatili mtupu wakurugenzi kusimamia uchaguzi.
Kwa maamuzi ya mahakama kuu wakurugenzi ni marufuku kusimamia uchaguzi kwakuwa hawana sifa za kuwa watu wasio pendelea kuegemea upande mmoja labda mahakama ya rufaa itengue amri hiyo.
Hii itakuwa imewasaidia wakurugenzi kufanya shughuli zao za kiserikali na kuachana na vitisho walivyo kuwa wanavipata jimbo likienda upinzani.
Kuna wakurugenzi hawapendi uovu huo ila walikuwa wanalazimika kufanya hivyo kulinda vyeo tuu ila moyoni wanasikitikia uharamia huo wa wizi wa kura .
Mkuu kuna mambo mengi sana huyaelewi kwenye nchi hii. Unajua kiduchu sana. Labda hebu nisaidie ngazi ya mitaa na vijiji wanaosimamia nao ni makada wa CCM? Kama ndiyo hivyo sasa utawatoa wapi hao ambao siyo makada wa CCM jua kuwa CCM ni taasisi iko kila kona ya nchi siyo kama vyama vya upinzani vingi ni SACCOS za watu binafsi. Kwa ujumla CCM ni mfumo wa nchiHongera kwa kufuatilia lakini bado hujaelewa kaa chini tukupe somo sie wajuvi wa mambo.
Kwanza sheria ya utumishi wa umma inakataza wakurugenzi kuwa wanachama wa chama cha siasa na namna ya kuwapata wakurugenzi sheria imetoa utaratibu kwa serikali za mitaa kusimamia. Mkurugenzi ni lazima ateuliwe kutoka miongoni mwa watumishi wa umma ambaye ana sifa stahiki.
Pili Katiba ya Nchi imezuia mtu anayesimamia Uchaguzi kuwa mwanachama wa Chama cha siasa.
Hivyo jiwe amevunja sheria na kukanyaga katiba kwa makusudi ili kupendelea chama chake na genge hilo la wanyanga'anyi.
Wabunge waliopo ni halali kwa kuwa walitangazwa na wakurugenzi ambao hawakuwa na vyama vya siasa alio wateua Kikwete kwa kufuata sheria na Katiba.
Wakurugenzi ambao wakisimamia uchaguzi uchaguzi huo utakuwa ni batili ni hawa wa Magu aliowateua kwa kuvunja sheria na Katiba ya nchi.
Ndio maana mahakama imepelekewa Majina ya wakurugenzi 77 Makada wa CCM na mahakama ilipo jiridhisha kwamba ni kweli hao ni makada wa ccm haikupepesa macho wala kumung'unya maneno na kusema kuwa ni Ubatili mtupu wakurugenzi kusimamia uchaguzi.
Kwa maamuzi ya mahakama kuu wakurugenzi ni marufuku kusimamia uchaguzi kwakuwa hawana sifa za kuwa watu wasio pendelea kuegemea upande mmoja labda mahakama ya rufaa itengue amri hiyo.
Hii itakuwa imewasaidia wakurugenzi kufanya shughuli zao za kiserikali na kuachana na vitisho walivyo kuwa wanavipata jimbo likienda upinzani.
Kuna wakurugenzi hawapendi uovu huo ila walikuwa wanalazimika kufanya hivyo kulinda vyeo tuu ila moyoni wanasikitikia uharamia huo wa wizi wa kura .
Wananunuliwa na nani? Na wakishanunuliwa wanakuwa wanachama wa chama gani?hata kama wafuatao watateuliwa kuwa kwenye NEC
mbowe, mwenyekiti
lissu, Mkurugenzi wa uchaguzi
wwnyeviti wote wa wilaya wa chadema wakawa wasimamizi was lmajimbo,
ccm itashinda kwa kimbunga Kenneth.
sitachagua chadema tena kwa sababu huwa wananunulika.
Aisee hata kama wanakupa ugali hebu jionee aibu kidogo!Nimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu masuala ya Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi hasa baada ya Mahakama kutoa tafsiri ya sheria za Uchaguzi.
Pamoja na Mahakama kutoa tafsiri ya sheria ya Uchaguzi lakini naona uwezekano wa Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi itakuwa pale pale kwasababu wabunge wote waliotangazwa na hao Wakurugenzi wako Bungeni na wanaendelea na majukumu yao ya kibunge kwa mujibu wa sheria na inaoneka sheria ni halali na ndiyo maana hakuna hata mmoja aliyesema kuwa si Mbunge halali.
Hizo kelele na harakati zinazoendelea kwenye mitandao naona Sasa na tu kutwanga pilipili mwishowe ni machozi tu.
Hao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
Labda uchaguzi wa makende yako! Kwa mwandiko wako tu unaonekana wewe ni mister nobody! Mtu anayeganga ganga njaa tu kwa kudoea doea na kujishaua kwa watu!DED watasimamia Uchaguzi.
Hivyo ndivyo inavyoeleweka kwa watu wenye akili ukiacha wajinga wajinga kama mleta mada na wote waliompa like na hawa wengi wao wanapatikana huko Lumumba.Japo mm siyo mwanasheria lakini naamini sheria siyo retrospective. Hivyo basi hukumu ya Bob Chacha haitahusu chaguzi zilizopita bali zile zinazokuja. I stand to be corrected
Mkuu kuna kitu kinaitwa mawazo mbadala, nadhani umepitiwa kidogo! mtu akitofautiana nawe kimawazo, kimtazamo, kiitikadi sio sahihi kuhoji akili yake sababu mawazo ya mtu hujengwa na makuzi, elimu, matembezi nk!! Hatuwezi kufanana mawazo kamwe!!Ukiwa CCM akili unapeleka wapi?
Siwezi amini kwamba aliyeandika hii kitu ni mtu mzima kabisa.
Mkuu kuna kitu kinaitwa mawazo mbadala, nadhani umepitiwa kidogo! mtu akitofautiana nawe kimawazo, kimtazamo, kiitikadi sio sahihi kuhoji akili yake sababu mawazo ya mtu hujengwa na makuzi, elimu, matembezi nk!!