Wakurugenzi wa Halmashauri wataendelea kusimamia Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais Kama zamani

Ndo maana hua inasemwa ccm Kama taasisi na viumbe walio ndani yake wamepitwa na wakati.huu Uzi na mleta Uzi nao wanawaza Kama tuko mwaka 1978.
 
Huo ndiyo uwongo tunaosema kila siku....tembelea magereza ndiyo utajua wapo wakinanani....Tatizo lako unafikiri fisadi Ni Liwassa tu.

Mahakama ya mafisadi ilikosa wateja, hivyo waliopo huko ni wafungwa wa mambo mengine. Vinginevyo umtaje fisadi yoyote aliyepo jela. Umeleta hoja ya mihemko saa hii huna jipya umebaki kulazimisha.
 
Mahakama ishaona wakurugenzi hao hawafai simamia chaguzi lkn Nyie mnakaidi!
Mshaona hao ndiyo mnaowatumia ili mshinde.....

Ova
 
unauelewa mdogo sana wa sheria wewe....hujui lolote hapo ulipo kwa utumbo ulioandika hadi nimejiskia kuchoka.......hunaga point wewe mtu yani unever make sense afu uwa unajiona upo ok upstairs but your a big fooooooooool
Sa unatofauti gani na mleta thread!
Jikite kwenye hoja. Jibu hoja kwa hoja. Mambo ya utumbo hayasaidii sana lasivyo utaonekana immature.
 
Hao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
ACHA KUWASHWA WASHWA KWANI UNAOGOPA NINI WE MONITOR LIZARD
 
Nimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu masuala ya Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi hasa baada ya Mahakama kutoa tafsiri ya sheria za Uchaguzi.

Pamoja na Mahakama kutoa tafsiri ya sheria ya Uchaguzi lakini naona uwezekano wa Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi itakuwa pale pale kwasababu wabunge wote waliotangazwa na hao Wakurugenzi wako Bungeni na wanaendelea na majukumu yao ya kibunge kwa mujibu wa sheria na inaoneka sheria ni halali na ndiyo maana hakuna hata mmoja aliyesema kuwa si Mbunge halali.

Hizo kelele na harakati zinazoendelea kwenye mitandao naona Sasa na tu kutwanga pilipili mwishowe ni machozi tu.

Hao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
Upuuzi
 
Whats this nonsense aisee?
 
CCM kama wanashinda kihalali hapa ndipo wangethibitisha kwa kuunga mkono hukumu ya mahakama na siyo kung'ang'ania wakurugenzi waendelee kusimamia uchaguzi wakati ni kinyume na katiba,na wasinge hangaika kukata rufaa kwenye jambo nyeti kama hili kwa kuwa wanazidi kuthibitisha kuwa wao ndio wanaofaidika na wakurugenzi isivyo halali.
 
Hapa bongoland hata shamba la mahindi kulindwa na ngedere ni poa!
 
mkuu hiyo sheria ikipita inamaana itatumika kwenye chaguzi zijazo.hizo zilizopita zimesha pita.mbona sheria kiboa zinapitishwa bungeni baadae zinaonekana zinamapungifu zinaludishwa tena bungeni zinajadiliwa upya wanapata sheria mpya,kwa hiyo nikitu cha kawaida.haitoathiri kitu chochote.
 
Kuna haja ya kuwa na uelewa kidogo wa sheria, sheria hutumika pale ilipotungwa na hata ikitenguliwa tenguo lake hutumika kuanzia pale hukumu ya tenguo ilipotoka,
Mf:Baba yako akisema watoto wake wote watazaliwa hospital ya Temeke basi wewe uliezaliwa Meta Mbeya hutokuwa mwanawe?
 
Umesikika....
 
mkuu hiyo sheria ikipita inamaana itatumika kwenye chaguzi zijazo.hizo zilizopita zimesha pita.mbona sheria kiboa zinapitishwa bungeni baadae zinaonekana zinamapungifu zinaludishwa tena bungeni zinajadiliwa upya wanapata sheria mpya,kwa hiyo nikitu cha kawaida.haitoathiri kitu chochote.
Ok
 
CCM kama wanashinda kihalali hapa ndipo wangethibitisha kwa kuunga mkono hukumu ya mahakama na siyo kung'ang'ania wakurugenzi waendelee kusimamia uchaguzi wakati ni kinyume na katiba,na wasinge hangaika kukata rufaa kwenye jambo nyeti kama hili kwa kuwa wanazidi kuthibitisha kuwa wao ndio wanaofaidika na wakurugenzi isivyo halali.
Hakuna popote pale pameandikwa kuwa sifa moja ya kuteuliwa kuwa DED ni lazima uwe na kadi ya CCM...
 
Back
Top Bottom