Wakurugenzi wa Halmashauri wataendelea kusimamia Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais Kama zamani

Hakuwaanza leo toka hujazaliwa hao ndiyo wasimamizi wa Uchaguzi kwa mujibu wa sheria...hata mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi na wewe ndiyo unazaliwa hao waliendelea kuwa wasimamizi na Sasa ndiyo nakuambia hao ndiyo wasimamizi kwa taarifa yako.

Swali: sheria ya makato ya elimu ya juu ilipobadilishwa mbona hukuhoji makato yote ya nyuma yarudishwe ili makato halali yatumike?

Unataka uniambie hujui kuwa sheria huwa zinabadilika Mara kwa Mara na kuboreshwa au kufutwa? Kwamba hufahamu sheria hutungwa kwa kuzingatia katiba na mabadiliko si jambo baya?

Sema ni kwanini sheria hiyo iendelee kutumika na si kuwa inatumika kabla ya sijui nani hajazaliwa. Kwamba ili isiwe halali wabunge wajiuzulu. Serious?

Kulikuwa na sheria za kukeketana huko nyuma kwenye Jamii zetu kabla hujazaliwa sasa mbona hazifatwi tena sababu ni za muda mrefu?

Inatia hasira sana kuona serikali yako unayoipenda inatetewa kwa hoja za kiwango hiki. Mnawapa maadui point.
 
hata kama wafuatao watateuliwa kuwa kwenye NEC

mbowe, mwenyekiti
lissu, Mkurugenzi wa uchaguzi
wwnyeviti wote wa wilaya wa chadema wakawa wasimamizi was lmajimbo,

ccm itashinda kwa kimbunga Kenneth.

sitachagua chadema tena kwa sababu huwa wananunulika.
Jaribu kujichomeka dudu uone utakavyovimbishwa tumbo?
 
Mleta mada naona una maslahi na usimamizi wa dhuruma wa hao maDED.
Kama MaCCMnashinda kihalali na watu wanawapenda basi tulia tuwe na wasimamizi huru na haki itendeke!!
Acha kushupalia ujinga!!
 
Vyovyote unavyofikiri.Hukumu iliyotolewa imetolewa na walioipokea wanazidi kuipotosha.

Kwa mtazamo wa nchi ambayo matakwa ya rais ndio katiba na sheria, hukumu isiyofikia utashi wake ikifafanuliwa kwa umma kwake ni upotoshaji.
 
Hakuwaanza leo toka hujazaliwa hao ndiyo wasimamizi wa Uchaguzi kwa mujibu wa sheria...hata mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi na wewe ndiyo unazaliwa hao waliendelea kuwa wasimamizi na Sasa ndiyo nakuambia hao ndiyo wasimamizi kwa taarifa yako.
Wewe kama poyoyo wewe.
 
Nimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu masuala ya Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi hasa baada ya Mahakama kutoa tafsiri ya sheria za Uchaguzi.

Pamoja na Mahakama kutoa tafsiri ya sheria ya Uchaguzi lakini naona uwezekano wa Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi itakuwa pale pale kwasababu wabunge wote waliotangazwa na hao Wakurugenzi wako Bungeni na wanaendelea na majukumu yao ya kibunge kwa mujibu wa sheria na inaoneka sheria ni halali na ndiyo maana hakuna hata mmoja aliyesema kuwa si Mbunge halali.

Hizo kelele na harakati zinazoendelea kwenye mitandao naona Sasa na tu kutwanga pilipili mwishowe ni machozi tu.

Hao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
Watu ninaowaheshimu wakiandika ujinga huwa nasikitika sana. Yaani na wewe unaandika kwa kiwango cha chini kiasi hiki tatum? Yaani ulitaka mahakama ihukumu hoja ambayo haikupelekwa mahakamani? Ni lini uliambiwa kesi husika ilihusisha uhalali wa wabunge wa sasa?
Ukiheshimika Jiheshimu......!
 
duh makada wa ccm wamenuna hatari kitendo cha makada wenzao maded kuambiwa hawastahili kusimamia uchaguzi
 
Maded ambao ni wanachama wa ccm hata kama watasimamia sio kwakuwa ni sahihi, bali ni kudhibitisha dictator huwa haheshimu mahakama.
Mawazo yako hasi tu....wapinzani walipitishwa na hao hao MaDED
 
Mawazo yako hasi tu....wapinzani walipitishwa na hao hao MaDED

Wakati huo JK alikuwa ana afadhali kwenye kuheshimu demokrasia, tofauti na sasa ambapo Magufuli anatumia madaraka yake kuhujumu box la kura wazi wazi kwa faida ya ccm.
 
Nimekuwa nafuatilia mijadala mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii kuhusu masuala ya Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi hasa baada ya Mahakama kutoa tafsiri ya sheria za Uchaguzi.

Pamoja na Mahakama kutoa tafsiri ya sheria ya Uchaguzi lakini naona uwezekano wa Wakurugenzi kuendelea kusimamia Uchaguzi itakuwa pale pale kwasababu wabunge wote waliotangazwa na hao Wakurugenzi wako Bungeni na wanaendelea na majukumu yao ya kibunge kwa mujibu wa sheria na inaoneka sheria ni halali na ndiyo maana hakuna hata mmoja aliyesema kuwa si Mbunge halali.

Hizo kelele na harakati zinazoendelea kwenye mitandao naona Sasa na tu kutwanga pilipili mwishowe ni machozi tu.

Hao Wakurugenzi wataendelea kusimamia Uchaguzi mkuu na chaguzi zingine ndogo.na Kama hawastahili kusimamia Uchaguzi basi wabunge wote watangaze kujiuzulu maana hawako kihali ili wasimamizi wengine wateuliwe na Uchaguzi mwingine ufanyike.... kinyume na hapo Ma DED wataendelea kusimamia Uchaguzi Kama ilivyokuwa huko nyuma.
Ujivunja sheria huwezi kuendelea kuvunja sheria inabidi utii ndio maana kuna onyo
 
Watu ninaowaheshimu wakiandika ujinga huwa nasikitika sana. Yaani na wewe unaandika kwa kiwango cha chini kiasi hiki tatum? Yaani ulitaka mahakama ihukumu hoja ambayo haikupelekwa mahakamani? Ni lini uliambiwa kesi husika ilihusisha uhalali wa wabunge wa sasa?
Ukiheshimika Jiheshimu......!
Kama Uchaguzi ulikuwa haramu kwa mujibu wa hukumu kwasababu sheria zimekiukwa basi kila kitu kinachofanyika ni haramu na batili.Tujipange upya kufanya kwa kujibu wa hukumu hiyo.Na hao wanakubali hiyo hukumu wajiuzuru wote kuonyesha kuwa walikwenda kinyume na sheria.

Kama ulipewa mke kinyume na sheria je huyo bado ni mkeo wako.
 
Back
Top Bottom