Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,033
na huu ndiyo mkoa unaojulikana kuwa na maprofesa wengi na wanaojifanya wasomi, lakini watu wao mbumbumbu hivi....Wakulima mkoani Kagera wameandamana kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wanasiasa ambao wamejifanya hawatambui mchango wa serikali hasa kwenye sekta ya kilimo huku wakisema wengine wamekua wasomi kwa sababu wazazi wao waliwezeshwa kwenye kilimo kupitia serikali.
Maandamano hayo ya kumuomba msamaha Rais Samia yameanzia Mtaa wa Miembeni hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila.
View attachment 2426235