Huu siyo ustaarabu wa mijadala ktk platform kama hii. Asante.🙏🙏🙏zuzu lingine hili
Huu siyo ustaarabu wa mijadala ktk platform kama hii. Asante.🙏🙏🙏zuzu lingine hili
Kwako Kuna maji na umeme ?, Mfumuko wa Bei hauoni mkuu au wewe mlaba asali ?Lakini mkuu, hivi hujasikia bajeti ya kilimo iligyoongezwa mwaka huu?, Ofisa ugani wote wamepewa usafiri just kama enzi za mwalimu,, tuwage na shukrani japo kiduchu jamani,, roho mbaya haijengi
Kagera ni wakulima wa niniWakulima mkoani Kagera wameandamana kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wanasiasa ambao wamejifanya hawatambui mchango wa serikali hasa kwenye sekta ya kilimo huku wakisema wengine wamekua wasomi kwa sababu wazazi wao waliwezeshwa kwenye kilimo kupitia serikali.
Maandamano hayo ya kumuomba msamaha Rais Samia yameanzia Mtaa wa Miembeni hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila.
View attachment 2426235
Zamani niliamini Ziwa Magharibi ni wajanja na hawadanganyiki!!Wakulima mkoani Kagera wameandamana kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wanasiasa ambao wamejifanya hawatambui mchango wa serikali hasa kwenye sekta ya kilimo huku wakisema wengine wamekua wasomi kwa sababu wazazi wao waliwezeshwa kwenye kilimo kupitia serikali.
Maandamano hayo ya kumuomba msamaha Rais Samia yameanzia Mtaa wa Miembeni hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila.
View attachment 2426235
Ni aibu wasionekane kwa pichaOna wameinama kwa aibuView attachment 2426475
Ndiyo, ni wajanja.Zamani niliamini Ziwa Magharibi ni wajanja na hawadanganyiki!!
Nyie Tanzania ina watu wamejizima data
Hiyo asilimia 2 ni ukoo wako tu sio?Yani watanzania 98% ni hamnazo
Bei za vitu zimeongezeka dunia nzima wewe unamlaumu raisi. Hivi nyinyi wengine uelewa wenu unakuwaje?Ndivyo tujuavyo hivyo, kumbe sifa hiyo inaendana na unafiki. Wanaandamana huku nafdi zao zikiwastuta kuhusu mfumuko bei za bidhaa muhimi za msingi katika maidha ya kila siku.
1Timothy 4:2
Upumbavu wa kiwango cha ramiWakulima mkoani Kagera wameandamana kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wanasiasa ambao wamejifanya hawatambui mchango wa serikali hasa kwenye sekta ya kilimo huku wakisema wengine wamekua wasomi kwa sababu wazazi wao waliwezeshwa kwenye kilimo kupitia serikali.
Maandamano hayo ya kumuomba msamaha Rais Samia yameanzia Mtaa wa Miembeni hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila.
View attachment 2426235
Bei za vitu zimeongezeka dunia nzima wewe unamlaumu raisi. Hivi nyinyi wengine uelewa wenu unakuwaje?
Waache wakulima wampongeze mama kwa kuwakomboa. Masoko ya mazao yote yako vizuri na bei za mazao yao ziko juu. Kwa mfano kahawa 2,000+ wakati huko nyuma wakati wa serikali ya kina Bashiru ilikuwa kilo ya kahawa imelingana na Bei ya soda 700!
Chalamila kesha nyooshwa na kuonja ugumu wa kukaa benchi huyu na wa Mbeya wamezidi kujikomba hadi nyefunyefu sijui wanamdanganya nani, harakati hizi za Chalamila na Homela ni kwa maslahi yao na jamaa zao.Wakulima mkoani Kagera wameandamana kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wanasiasa ambao wamejifanya hawatambui mchango wa serikali hasa kwenye sekta ya kilimo huku wakisema wengine wamekua wasomi kwa sababu wazazi wao waliwezeshwa kwenye kilimo kupitia serikali.
Maandamano hayo ya kumuomba msamaha Rais Samia yameanzia Mtaa wa Miembeni hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila.
View attachment 2426235
Ukibahatika ukawa huna akili utaishi kwa raha sana maana kila kitu utaona kipo vizuri, nyeupe na nyekundu utaona zipo sawa, usiku na mchana utaona vinafanana, mrefu na mfupi tofauti yake pia hutaiona!
Ila ukiumbwa una akili timamu kichwani, hii Nchi unaweza ukafa mapema sana kwa stress.🤣🤣🤣
hao ni wajinga wakiongozwa na chalamilaaWakulima mkoani Kagera wameandamana kwa ajili ya kumuomba msamaha Rais Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wanasiasa ambao wamejifanya hawatambui mchango wa serikali hasa kwenye sekta ya kilimo huku wakisema wengine wamekua wasomi kwa sababu wazazi wao waliwezeshwa kwenye kilimo kupitia serikali.
Maandamano hayo ya kumuomba msamaha Rais Samia yameanzia Mtaa wa Miembeni hadi ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Kagera Albert Chalamila.
View attachment 2426235