Saizi tafuta shamba uone jinsi ambavyo ni ghali kupata na bei zimepanda.Sure,
That's true mkuu,
Mashamba ambayo hayakulimwa 3 yrs ago leo hii yote yamelimwa kila mtu anahitaji shamba saivi na yamekua adimu na bei ni ghali mbaya sana tunahemishika sasa 🐒
Wewe umekatazwa kuanza kampeni mapema?Ni aibu sana kuanza kampeni kabla ya muda
mimi naandika ujumbe huu niko shamba nimeshamsliza kulima kwangu, nikaona niongeze walau ekari walau 5 tu za kukodi nilime karanga na maharage leo ni siku ya nne nimeenda hadi milimani huko lakini sijafanikiwa mashamba yote yamelimwa....Saizi tafuta shamba uone jinsi ambavyo ni ghali kupata na bei zimepanda.
Kiufupi Mama amefanya Kilimo kiwe tumaini la watu kupatia mtaji tofauti na Miaka ya Mwendazake.
Kongole Kwa Samia na Bashe.
ata akina Moise katumbi na wenzie ilikua hivi hivi, mara mikutano ya ndani, mara workshop, mara seminar mara retreats south Africa kuja kuhamaki uchaguzi Jpili ijayo na hawajafanya kampeni mgombea wao hajulikani 😅🐒Wewe umekatazwa kuanza?
Mwaka Jana nimenunua ekari 30,nimelima kadhaa na nimekodisha zingine.mimi naandika ujumbe huu niko shamba nimeshamsliza kulima kwangu, nikaona niongeze walau ekari walau 5 tu za kukodi nilime karanga na maharage leo ni siku ya nne nimeenda hadi milimani huko lakini sijafanikiwa mashamba yote yamelimwa....
This mama is taking us higher...
Ni kweli kabisa maana nchi imeshakuwa ya kifalme tunajua hadi mrithi ajaye.I can confirm to you without fear of contradictions, kwamba hayupo mkulima nchi hii atachagua kitu ingine wakati wa uchaguzi zaidi ya CCM na Dr.Samia Suluhu Hassan....
hiyo kampeni imefanywa wapi au imetangazwa lini kua imeanza au haijaanza 🐒Ni aibu sana kuanza kampeni kabla ya muda
Utajua mwenyewe ila watu wanaangalia wamenufaikaje na awamu ya mama,hayo mengine ni ya Vijiweni kwenu.Ni kweli kabisa maana nchi imeshakuwa ya kifalme tunajua hadi mrithi ajaye.
Yes,Mwaka Jana nimenunua ekari 30,nimelima kadhaa na nimekodisha zingine.
Sababu kubwa ni kwamba uhakika wa bei ,mfano bei ya mahindi awamu ya Jiwe ilikuwa 30,000-40,000 hii ni hasara.
Bei ya mama Kwa Sasa ni Kati ya 60,000-100,000 hii ni bei nzuri Kwa mkulima inalipa.
On top of that Serikali ndio mnunuzi Mkuu na Mama ameweka malengo ya kununua Hadi tani mil.3 by 2030 ,mwaka huu wamenunua tani 500,000 Kwa bei ya 70,000-90,000/100kg bag kutoka tani 250,000 za Jiwe na Kwa bei za ajabu ajabu
Mkuu Tlaatlaah labda wakulima wa Dar wanamwuunga mkono mama niambie soko la Mahindi lilipo...
😬😬😬😬,we uko bize sana mkuu,
hata magazeti huna muda kuyapitia, mitandao ya kijamii ndio kama hivi unagusagusa tu, kwenye vikao vya kijiji na mtaa huji, kwenye viweje vya kahawa hutaki kujoin, taifa kwenye mechi huendagi, huonekani msikitini, kanisani, kwenye ndoa, send off na mazishi utajuaje mambo haya ndruuuugu yangu 🐒
sie ndio tunamilza kulima na kupanda tumemuoa kwenye mbegu za mazao na mifugo, mbolea na madawa ya mimea na mifugo tunaachaje kushukuru na kwendra nae bampa to bampa hadi 2030🐒