Salamu wakuu.
Ni mara kadhaa nimelima pasipo kupima PH soil, sasa nataka kujua nyie wenzangu Kama huwa mnatest soil kwa kipimo hicho ili nijue na Mimi ni wapi nitaipata huduma hiyo.
Lakini pia nishawahi kusikia Kuna vifaa vya 3 in 1 ambavyo hufanya kazi hiyo na hapa ningependa kujua upatikanaji wake na ufanisi wake.
Location: Makambako -Njombe.