Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
462
Reaction score
540
Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?
Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
 
Na hapo ujue mpunga uko juu, kama debe unauziwa elf 15 ujue gunia moja la mpunga utauziwa 105,000/= kwa hali hiyo debe la mchele haiwezi kuwa chini ya elfu 40
 
Back
Top Bottom