Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

1748932743336.jpeg
 
So wrong, hiyo sio kauli sahihi, kuna ma sheikh wametekwa na kupoteza maisha

Hili sio shambulio landini bali shambulio la wanaosema ukweli
sheikh gani ametekwa kwa bara kwa kukosoa serikali? All in all, this is the way you see it! to me ni shambulio la wakristo!
 
Acha udini
udini upo na utaendelea kuwepo milele, ila hautatutoa kwenye malengo mahususi kama ya kujenga taifa moja la dini zote! kama unajitambua you have to raise alarm early!
 
Issa bin Maryam, atakuaje mtoto wa Mungu!

Nabii Muhammad S.A.W alitumwa kwa walimwengu wote.
Nabii issa (AS) alitumwa kwa wana wa israel tu.
huko sipo, huko sipo, naangalia kushambuliwa kwa kundi fulani......
 
Uyo maza wa ikulu kuna matusi makubwa sana niko namtukana kimoyo moyo apa ni makali saaanaaaaa
Watumeni chawa wenu wani burn
 
Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!
  • Gwajima
  • Kitima
Acha kueneza chuki haitokusaidia kitu, na mnaharibu hata nguvu na maana yote ya upinzani na kupigania haki, inaonekana kama kikundi cha chuki tu na huwezi kupata support ya makundi mengine au dini nyingine, na hapo ndio chadema wanapofeli
 
Back
Top Bottom