The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,160
Subiria t shirt ya bure mengine achana nayo
Ni Tanzania pekee unamkuta mtu anajiita askofu na ni mbunge tena wa kuchaguliwa, i.e aliingia kwenye mchakato wa kugombaniasiasa na dini havichangamani
Nahisi sio sawa kusema Wakristo, kwani kila mtu bila kujalisha dini yake anaweza kupatwa na lolote, na isitoshe walionyuma ya yote hayo ni wakristo,.Kikubwa ni kusema watanzania kwa pamoja, kwani kuanza kutetea mtu kwa kujinasibisha na dini ni mbaya zaidi. Tuache mambo ya udini bali tupange mambo ya kitaifa kama watanzania bila kuweka udini. Kuna watu wanapambani haki kama akina sheh Ponda, ivyo ukisema wakristo ilihali yeye sio mkristo lakini anasakamwa unakuwa ujabalance taarifa.Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!
- Gwajima
- Kitima
Niliandika humu siku Moja kwamba kati ya watu wajinga Duniani ni watanganyika.Tuamke watanzania tuwe wakali, huu upole na kutochukua hatua ni upumbavu. Wale tunao wamudu tumalizane nao tusimwachie Mungu, wakati wa ukombozi ni sasa.
Wakristo watazidi kuonewa Sana TANZANIA kutokana viongozi wenyewe kujiona ni wasomi sana..Tuamke toka usingizini
yesu nibinadamu kama binadamu wengine tofauti yeye nimtumeKenge mjusi wewe
nikitaka kusaidiwa namuomba mungu sio yesu yesu mwenyewe alishindwa kujisaidia ataweza kunisaidia mimi?Polee,Majini yashakupanda 🙆🏿♂️ yakikuzidi mwite Yesu mkombozi wetu atakusaidia
nikapambane na nani kwamanufaa gani?We unapigania JF. Toka upambane kama we mwanaume kweli. Shwainnnn!
umemsahau yule dogo nabii wa ArushaWakristo tunashambuliwa, tujitetee!
- Gwajima
- Kitima
Ila kuna mashekhe waliyokwa gerezani kwa miaka kumi bilq ya hukumuWakristo watazidi kuonewa Sana TANZANIA kutokana viongozi wenyewe kujiona ni wasomi sana..
Ingekuwa msikiti umefungwa Leo akina mwaipopo na wenzake wangekuwa mtaani kupinga na haitakuja kutokea msikiti kufungiwa Tanzania
Bado umekimbia hoja ya kufunga kanisa, Mimi naongelea ufunguji wa kanisa hii haijawahi kutokea Tanzania.Ila kuna mashekhe waliyokwa gerezani kwa miaka kumi bilq ya hukumu
Kuna mashekhe waliopigwa risasi misikitini
Na yote hayo hatujasikia waislamu au misikitini kukienezwa chuki au kuhutubiwa siasa hiyo ndio tofauti , kinachokusumbua wewe ni udini na lack of exposure, hapo rwanda tu makanisa zaidi ya 100 yamefungwa , ukitaka kuharibu amani ya nchi na kwenda tofauti na leseni yako utafungiwa tu bila ya kuangalia sura
Kama likikiuka taratibu litafungwa tu hakuna namna , yani tusifuate sheria kwakuwa haikuwahi kutekelezwa? Kila kitu kina mara yake ya kwanza , hakuna uhuru usiokuwa na mipaka ,pamoja naunga mkono reforms ila siungi mkono huu upuuzi wa gwajima, yani uharibu amani ya nchi kisa maslahi yako binafsi , lifungwe tu hilo kanisaBado umekimbia hoja ya kufunga kanisa, Mimi naongelea ufunguji wa kanisa hii haijawahi kutokea Tanzania.
Wenye Akili hawana muda wa kijadili dini Sisi tunaangalia kufunga kanisa
Kama amehatarisha amani akamatwe yeye tena ushahidi mnao juu ya uvunjifu wa Amani sasa kanisa Lina kosa gani ? Kipindi cha vurugu za mwembechai pale magomeni ule msikiti uliendelea kutumika japokuwa viongozi wao walikamatwa.Kama likikiuka taratibu litafungwa tu hakuna namna , yani tusifuate sheria kwakuwa haikuwahi kutekelezwa? Kila kitu kina mara yake ya kwanza , hakuna uhuru usiokuwa na mipaka ,pamoja naunga mkono reforms ila siungi mkono huu upuuzi wa gwajima, yani uharibu amani ya nchi kisa maslahi yako binafsi , lifungwe tu hilo kanisa
Inavyoonyesha hujui hata sheria, hujui kama ukikiuka dhumuni la leseni yako hiyo ofisi yako inafungwa? Kama hujui jambo dogo kama hilo basi ungerudi tu shuleKama amehatarisha amani akamatwe yeye tena ushahidi mnao juu ya uvunjifu wa Amani sasa kanisa Lina kosa gani ? Kipindi cha vurugu za mwembechai pale magomeni ule msikiti uliendelea kutumika japokuwa viongozi wao walikamatwa.
Umewahi kuona wapi kosa ufanye wewe alafu wafungwe ukoo wako wote?
Ongeza na shekhe ponda kupigwa risasi Kisha ondoa neno wakristu,Tuache uchochezi wa kidini.Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!
- Gwajima
- Kitima
to me iko hivyo!Ongeza na shekhe ponga kupigwa risasi Kisha ondoa neno wakristu,Tuache uchochezi wa kidini.
Kweli tupuWakristo watazidi kuonewa Sana TANZANIA kutokana viongozi wenyewe kujiona ni wasomi sana..
Ingekuwa msikiti umefungwa Leo akina mwaipopo na wenzake wangekuwa mtaani kupinga na haitakuja kutokea msikiti kufungiwa Tanzania