Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

Tusifike huku ndugu zangu,kwa namna tunavyoishi haipendezi sisi kufika huku,tujaribu kutenganisha haya mambo
 
1) Amina Chifupa alipotaka kuja kuwataja wauza unga- Chap... Aliuawa before press
2) Josephat Gwajima aliposema next atakuja na orodha ya watekaji- chap.. wamefungia kanisa lake!
 
We punguani mwamedi mamake ni Amina babake abudala Sasa niambia baba mzazi wa Yesu ninani?? Jibu kama unajua neno!!
Alafu kwanini Maria mama wa Yesu ni mama Bora kuliko Amina mamake mwamed?
Baba ake yesu ni yusufu..
 
Nilifikiri ni Uzi wa kufirisha akili kumbe ni Uzi wa kuonyesha chuki dhidi ya Waislamu na Waarabu tu; hauninyimi usingizi, utapotea kama Moshi wa sigara kwa uwezo wa Mungu mkuu.....
 
Nilifikiri ni Uzi wa kufirisha akili kumbe ni Uzi wa kuonyesha chuki dhidi ya Waislamu na Waarabu tu; hauninyimi usingizi, utapotea kama Moshi wa sigara kwa uwezo wa Mungu mkuu.....

Wenye mimba za chuki wote safari hii watajifungua
 
1) Amina Chifupa alipotaka kuja kuwataja wauza unga- Chap... Aliuawa before press
2) Josephat Gwajima aliposema next atakuja na orodha ya watekaji- chap.. wamefungia kanisa lake!

Gwajima muhuni tuh, it was just a matter of time... arudi shamba Akalime
 
kweli kuna hichi kizazi kuanzia miaka 46 kwenda juu, kuna mtu mzima mmoja analalamika mambo yanavyoenda ila anasema yeye atachagua tu CCM sababu anakipenda chama, yeye ajali watu tena akanitolea mfano wa dini eti wewe ukiona mchungaji wako amefanya makosa utaacha kwenda kanisani
Huyo Mzee anazingua sana kwqni ni ukoo?
 
Back
Top Bottom