Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,351
Ndio tuamke, mkoloni mweusi atoke💯⚒️Tuamke toka usingizini
Ndio tuamke, mkoloni mweusi atoke💯⚒️Tuamke toka usingizini
Mh! Mbona hakumpigania Mdudue? Ben? Mtoto Chaula? mzee Ali?Kaeni Kimya asema Bwana wa majeshi.. Maana vita yenu atawapigania
Usichanganye dini na siasa nyimba za mungu tuongee ya mungu siasa uwanja wake unajulikana tafadhali au unataka siasa ziingie nyumba ya ibada kama mmekosa ushawishi kwa watu tafadhali kubalini kushindwa msipeleke siasa kwenye nyumba za mungu.siasa zina determine hata wewe kwenda kanisani, msikitini...kula yako, kuvaa yako, nyumba yakotc etc all are determined by siasa. Acha propaganda za wana siasa
Sio wote mkuu tafadhari.Tanzania hii kwa nini mtu akizeeka anakuwa CCM hata kama zamani alikuwa chadema.
Hili swali huwa najiuliza na jibu bado Sina.
Munakumbuka mulivokua munawambia Uwamsho kule ZanzibarNani kasema?
wazinzi tu hao gentlemanGwajima
Kitima

Acha udini dogo kuna mashee wangapi wameuwawa na wengine wako gerezani? Mi nashangaa JF kwa kuziacha nyuzi kama hizi.Gwajima
Kitima
Huwezi elewa kama unaamini majini? Iwapo unasema kunamajini mazuri utamuelewa vipi Yesu wakati kaziyaje ni kuyafurusha!!Ila wakristo bwana, mara yesu ni mungu mara ni mwana wa mungu mara sijui nini, aise hamueleweki
Free palestine 🇵🇸
Ila ni matako yako?Sio kweli hata KIDOGO,Gwajima sio mkristo acha kupotosha
Nia ni kuchonganisha.Abadilishe ili iwe kuomba msamaha?Mleta bandiko acha udini,badilisha heading,imekaa kichonganishi sana
Mimi naitwa baba nawanangu kwahio nikosawa na mungu wenu?Kajini Mungu alimleta mwanawe Yesu Kristo Kwa kauli. Shida mnapenda ngono ndomana mna oaoa sana mkisikia mtoto mnajua kukatikiana! Foolish,
Mungu huagiza na ikawa nabado anabaki kuwa baba open your silly little brains...
Umauti ukikufika ndio utajuaHuwezi elewa kama unaamini majini? Iwapo unasema kunamajini mazuri utamuelewa vipi Yesu wakati kaziyaje ni kuyafurusha!!
Wewe mwelewe mwamedi na wakeze 10 na nusu (yaani nakale kamiaka Tisa)😁
Kuna mvutabangi anaitwa mwamedi kwahiyo Yuko sawa nahuyo muhamedi wenu?Mimi naitwa baba nawanangu kwahio nikosawa na mungu wenu?
Hata wewe ukifa utamjua Yesu vizuriUmauti ukikufika ndio utajua
tokahapa kenge weweKuna mvutabangi anaitwa mwamedi kwahiyo Yuko sawa nahuyo muhamedi wenu?
Huwezi kuelewa kama akili ni kiduchu!
Mi naona wanazingua 😂.sema wamejitahidi ndiomana hawataki vurugu
Kwahiyo yesu ni mungu wenu, ambae ni binadamu kama sisi, dah hahaaaHata wewe ukifa utamjua Yesu vizuri
Watapoteana hao wafuga majiniGwajima
Kitima