Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,116
- 41,692
Kumbe humpendi samaki maji chumvi eeeHahaha samaki wa baharini nakula basi, zaidi mchele kidg ndo watamu
Hahaha me nikivuka na sea tax tuu, ikipigwa wimbi, natokwa na jasho mwili mzima 😃
Nick alikufa baharini kwenye mtumbwi ilipigwa na wimbi akirudi mafia kazini.. 😭😭😭 alizikwa ugenini mafiaSylvester kubema, alikufa kwenye kifodi cha Majendo nikiwa standard four, mpaka Leo nakumbuka pale mochwari amelala, ubongo nje! Huyo sitamsahau na Bag lake la mgongoni lenye kwamba limeandikwa sport linafunga kwa juu kwa kufinya kamba?
Sipendelei kwakweli nawapenda Hawa maji baridi zaidiKumbe humpendi samaki maji chumvi eee
Kuna kitu nilitaka niandike hapa..cha kuumiza sana.. Kumbe niko verified.. Anyway.. Sometimes ndoa na michepuko vimewapeleka wengi kuzimu ama kuharibikiwa kimaishaWako ma comred wengine walipatia maisha, wanawake wakawasumbua, hawakusoma ramani, wakaa kwenye ndoa kuponywa na waliowaumiza, tuliwazika kwa ulevi, organ failures, na kiarusi!
Huu ni ukweli mchungu japo wengi hukataa Ila ndoa aseeh wazee nawasikiaga tuu wanasema ndoa sio mchezoKuna kitu nilitaka niandike hapa..cha kuumiza sana.. Kumbe niko verified.. Anyway.. Sometimes ndoa na michepuko vimewapeleka wengi kuzimu ama kuharibikiwa kimaisha
Hawa ndio wale kipindi cha komando yosso Magomeni na Mburahati?Hasan marehemu, Rama sijui yupo wapi; Festo ndo ilimtesa mlevi wa kutupa, Aly yupo Norway, hawa walikuwa marafiki wa karibu wa Miriam Odemba, wao na Miriam wote walikuwa wadogo kwangu, watukutu wa kutupa, vita vya mapanga, karate na kila kitu, imagine watoto wa Darasa la sita wanatulizwa na FFU
Kuna kitu nilitaka niandike hapa..cha kuumiza sana.. Kumbe niko verified.. Anyway.. Sometimes ndoa na michepuko vimewapeleka wengi kuzimu ama kuharibikiwa kimaisha
Ni mwenyeji wawapi, kuna mmoja ninafanya nae kaziKunamshikajia alikua anaitwa masumbuko!
Sijui yupo wapi siku hizi aisee.
Ila dunia imeweza kututenganisha
Ni kweli lkn bado anguko la hiyo taasis ni kubwa sana hasa sisi vijana wa dot comKosea yote maishani lakini sio ndoa (kuoa ama kuolewa)
😁 Brother mshana tumia I'd yako inginee utusimulie..Kuna kitu nilitaka niandike hapa..cha kuumiza sana.. Kumbe niko verified.. Anyway.. Sometimes ndoa na michepuko vimewapeleka wengi kuzimu ama kuharibikiwa kimaisha
Don’t count yourself out before the game starts.Mmoja yupo techno ( kitengo Cha marketing), mwingine ana ki firm chake mwanza hapo.
Mwingine ambae ni mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.
Kbisa mkuu.Maneno yenye ukweli thabiti.