Wako wapi wale anti Kagame?

Consigliere

Platinum Member
Joined
Sep 9, 2010
Posts
12,689
Reaction score
26,568
Nimeanza kujiuliza kwamba wapo wapi wale wapinga Kagame ambao walikua wakichochea uhasama wa Tanzania na Rwanda kupitia Kikwete?

Watu hao walikua ni mafundi wa matusi kwa Kagame na Rwanda yake ilifikia kipindi wakawa wanatafsiri hadi picha za Ma-bodyguard kwamba ni kwa kiasi gani wale wa Tanzania hawamuamini Kagame. Lakini hivi sasa hali imebadirika kabisa, Magufuli na Kagame wameonyesha si tu kwamba wao ni viongozi wa nchi bali pia ni marafiki wanaoelewana na kila mmoja akimkubali mwenzake kiutendaji.

Anti Kagame wapo kimya either wamekosa au wamepoteza maneno ya kuongea. Hawaelewi waya shape vipi mawazo yao dhidi ya Kagame.
 
jMali..interahamwe in chief.....@vyuma..aka P. Nkurunziza (nchi imemshinda)..na wengine wengi walikata tamaa wamuachia jMali ukumbi
 
Majirani wamekubali kichwa Magufuli. Hata Museven ambaye alishirikiana na wenzake kuitenga Tz kwa sasa anatoa ushirikiano. Sasa sijui Jk walimuona labda..... kichwa chake yaani....(si mshaelewa? )
 
Tupo na hatumwamini Kagame, tunaomba Rais wetu awe makini. Tunachofanya sisi ant Kagame tumekaa pembeni when the time comes we will hit big time. Yaani ni kama ushabiki wa simba na yanga hakuna kuhama timu. Ingawa Kagame ni yanga kama mimi lakini simupendi
 
Huyo mtumia mirungi/milaa ndo hatupi shida, ni nyang'au tu huyo from the start
Kwani matumizi ya mirungi yana ubaya gani. Sisi ni manyangau hamtuwezi, mbaki huko mkimzingua Kagame.
 
empire!
 
Hiyo simupendi=Ni kama kiswahili cha nchi flani.
 
Sasa hivi wale vijana wa Lumumba imebidi tu wamshangilie Kagame kwa kuwa hakuna namba nyingine tena.
Ilifikia mahali hata Lowasa alitukanwa na kushutumiwa kwamba ana ukaribu na Kagame na kwamba wana ajenda zao za siri dhidi yetu watanzania.
 
Kwakweli Kagame kawa mtamu
Ndio upepo huo
 
khe! ndo mmeamua mtoke hivi?!
 
Mkuu mleta hoja... Ccm n8 wanafiki.

Jpm anafanya kila kitu jk alichokua hafanyi, lakini utashangaa kuona walewale wa ccm ndio wanaongoza kutoa sifa humu

Unafiki ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…