Wako wapi Salum Mwalim, John Mnyika?

Wako wapi Salum Mwalim, John Mnyika?

Hapa kuna tatizo sema uvyama unafanya msijadili kwa umakini one man show sio nzuri na kuhama kwa shughuli za kiofisi kuna impact lakini pia naamini ktk siasa kumtegemea mtu mmoja sio nzuri kiasi anaweza kychange upepo na wengine ndani ya chama mnakuuwa subjected nahisi kuna la kujifunza sana hapo
 
Wapi tena mkuu, mjamaa anapasua majipu kulia , kushoto, hadi madarajani!
Wanaoisoma namba si wapinzani tu, bali wezi, wabadhirifu, wafujaji wa mali ya umma.
CCM hawana cha kuongeza hapo, au ulitaka waseme nini?
Hakuna ulichojibu zaidi ya kuganga njaa
Naomba unijibu swali langu.......Je ndani ya CCM hakuna wezi? Hakuna majipu?
Kwa faida yenu!! nime-highlight.
Zaidi ya hapo ni IQ yako tu, kama bado hamuelewi mje niwasajili darsa la itikadi CCM!
 
Tujenge nchi Lowasa mwacheni mnataka azungumze kipi hali hana dola?acha tumpepee Magufuli amalize miaka yake tuone lakufanya TZ mzigo mzito wajinga ni wenga kuliko welevu kwa hivi tuendelee na mikakati ya serikali iliopo mengine yaacheni
 
~~~>Inawezekana amekosa Support ya Salum & Mnyika...... Ameachwa na Mwenyekiti tu.
Mwenyekiti naye kapotea. Amebaki Lowassa naye taratibu ananyea, maana nyundo za Magu zinapiga utosini. Watu wengi walimuunga wamajitambua.
 
Amtumbue na katibu wake ..maana tembo na vifaru wanazidi kutoweka duniani..hayo ndo mambo ya msingi ya kuhoji...
 
Ccm ni chama cha upinzani Dar es salaam, UKAWA inatekeleza ahadi tu huu siyo muda wa makelele, nenda kinondoni kawakatie bima ya afya wavaa kandambiri wenzako.
 
Ritz piga kazi! Mh Magu kapora sera zote za wananchi kivitendo kwahiyo hawana kelele kama enzi za vasco mkwere

Kwahiyo ni kweli Magu anatekeleza hoja za wapinzani? Kama ndivyo, wakati huo wapinzani wakizizungumza hoja hizo mbona chama cha majipu walikuwa wanazipinga na kuzipuuza? Tunaangamia kwasababu ya ujinga wetu!
 
~~~>>Mkuu Ritz


Wapinzani tuliwekeza ktk kukosoa serikali..... Tulijengwa na matukio badala ya kuwa na Sera mbadala.


Ikiwa na maana kama hakuna matukio basi hakuna Upinzani......... Kwasasa tunapaswa kuegemea ktk Seta mbadala na si kutegemea matukio tena.

Asikudanganye mtu, watanzania wanaangalia matukio na sio sera. Kwenye nchi ambayo hata professor anasoma gazeti la udaku hapo utazungumzia sera ndugu yangu? Sasa hivi tukio linalokamata chat ni kutumbua majipu lakini sio sera inayojadiliwa kwa kificho huko dodoma ya TZ ya viwanda. Hakuna mtanzania anayejali mambo ya viwanda bali kila siku tunajazana mbele ya tv kuona tukio la mtu kutumbuliwa jipu. Kwa hiyo sio chama tawala ama upinzani ambao wanashikilia kwenye sera zaidi ya matukio. Kama ingekuwa watanzania wanajali sera nadhani mpaka sasa nchi yetu ingekuwa inalima na ziada kuuza nje kama utakuwa unakumbuka sera ya kilimo kwanza. Zile nyimbo za MKUKUTA, MKURABITA nk tusingeoona huu umaskini ulio tamalaki. Wasimamia sera na ndio hao wakitolewa madarakani wanasema wasemehewe kwani wanategemewa na ndugu maskini sana!! Acha kubeba maneno hapa jukwaani ya propaganda bila ya kuyafanyia utafiti.
 
...yuko wapi Mangula, wapi Kinana, wapi JK,...??

Zile safari za Kinana Mikoani akiwa amepanda mitubwi, mara anabeba matofali kujenga madarasa na matofali zimeishia wapi?
 
Back
Top Bottom