Wako wapi Salum Mwalim, John Mnyika?

Wako wapi Salum Mwalim, John Mnyika?

Wanaukumbi.

Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.

Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.

Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.

Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.

Hivi John Mnyika si ndio Mbunge wa Kibamba? Au sio huyu?
Uchaguzi umeisha sasa wana nchi wanataka muwafanyie Kazi!
Wananchi wana kero nyingi sana katika maeneo yao zinahitaji utatuzi.
 
Kwisha kazi hao walidhani ccm walikuwa wajinga kuwaachia yule mzee.
 
Wanaukumbi.

Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.

Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.

Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.

Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
ndo maana magu anatutumbua sana sisi ndugu ktk imani, make akili 0 kabisa. post gan sasa hii ndugu yangu ktk iman?!
yuko wapi ndugu yetu ktk iman dr DAU?di
 
Wanaukumbi.

Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.

unajua mtu mjinga ukisoma alichoandika haraka sana unaweza kuugundua ujinga wake,, wewe unaauliza na kujijibu mwenyewe kama umeshajiridhisha kuwa kazi zote za chadema zinafanyika masaki sasa unauliza nini tena? hapo ndio kwenye ujinga wako!!

Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.

Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.

Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
 
kwaiyo wewe, unafikiri muda wote ni wa siasa tu...!

Watu wana maisha yao, zaidi ya unavyofikiri siasa muda wote
 
Viongozi na Wabunge wengi nguli wa CHADEMA ninaointeract nao wanakiri "nje ya kiapo" kuwa Katibu Mkuu mpya ni mzigo mzito. Hii project ya Mbowe inaweza kuishusha CHADEMA.
Wengi wao wanasema ni chaguo la luwasaa...kwahio wamesusa..
 
Wanaukumbi.

Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.

Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.

Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.

Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
Ulipita lini??

Kama ni leo basi ujue wako dodoma... Mengine waachie wenyewe mkuu, una mengi sana ya kufanya
 
~~~>>Mimi nipo Kilimanjaro, Kabla ya Uchaguzi mwaka jana lilikuwa jambo la ajabu kujitangaza kama MwanaCCM

~~>>Leo hii ktk Magari na vijiweni habari ni Magufuli.... Jarbu kumpinga Magufuli uone shughuli yake wanaweza hata kukupiga.

Najiuliza kama Kilimanjaro imemkubali Magufuli je Dodoma na mikoa mingine ngome ya CCM itakuwa ktk hali gani???

Wapinzani tumebanwa!
umeandika ukweli ambao kiuhalisia vyama vya upinzank waliozoea kujulikana kwa kuipinga serikali wanatakiwa kubadilisha gia angani ili kuendana na kasi ya hapa kazi tu.
 
Wanaukumbi.

Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.

Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.

Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.

Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
mkuu ritz hii kasi ya serikali ya awamu ya tano inatishia uhai wa vyama vya upinzani,huu ndio ukweli.

kuna hatari ya baadhi ya vyama kupotea ikiwa kasi hii itaendelea hadi uchaguzi ujao.

kama jpm akiendelea hivi 2020asifanye kampeni akae tu ikulu asubiri kuapishwa kwa muhura mwingine.
 
Maigizo na komed ndo zimebak TZ....bandarin mizigo inazd kipungua kila kikicha ww leten ushabik tu woii njaa iyoooo
 
Salum Mwalimu nilimuasa kupitia humu humu JF, kuwa hao wachaga wanakutumia tu wakikuchoka unaambiwa msaliti.

Mnyika nae ni chizi mpevu, uzima wake unategemea na mwezi.

He is simply lunatic.
 
Makamanda wapo mbona kinana Na mangula nao wameadimika? Nyani haoni kundulake
 
Magufuli kawafunika wengi sana kwenye ukwapa!! Magufuli kauwa hoja zote za UKAWA!
Magufuli kawauwa kisawasawa,katekeleza sera zao watasemaje sasa,halafu hawa mda mwingine ukiona wanapisha kauli bungeni ni kwakuwa wanapishana maslahi,yani wabunge wa CCM wanajipendelea kuliko kula sawa nao.
 
Acheni porojo za kitoto.Kwani viongozi wa Chadema wanachaguliwa na Lowassa au na kamati kuu?
Majuzi nilishangaa sana Mbowe anamfugulia mlango Lowassa wakati ki protocol Mwenyekiti ndiyo anatakiwa kufunguliwa mlango.
 
Back
Top Bottom