Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,266
- 98,304
Karibu sana jfMnyika yuko wapi? Maana naona unazidi kukimbilia kichakani badala ya kujibu swali la msingi..
Karibu sana jfMnyika yuko wapi? Maana naona unazidi kukimbilia kichakani badala ya kujibu swali la msingi..
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, leo nimeanza siku yangu kwa furaha kabisaKatibu wenu amerudi kutoka mbugani? teh teh teeh maana tembo huwa wakimuona msomali huyo wanapiga yowe...
Magufuli kawafunika wengi sana kwenye ukwapa!! Magufuli kauwa hoja zote za UKAWA!
Toka uchaguzi uishe wapo kimya sijui kwa nini.
Swali la msingi kabisa dhidi ya hoja ya hovyo.Kama kweli CHADEMA na UKAWA wamekwisha kwa nini Bunge halirushwi live?
Ukatibu mkuu ulikuwa haki ya Mhe John Mnyika ila sasa chama kimeuzwa kwa hiyo huko Ufipa hana kazi tena. Kamanda Mnyika pambana jimboni kwako mambo ya chama waachie wenyewe.Wanaukumbi.
Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.
Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.
Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.
Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
Asante sana mkuu, nimeshakaribia. Haya jibu swali sasa, Mnyika yuko wapi?Karibu sana jf
Amnesia ndio nini mkuu? Tujuze kwa faida ya wengi..Nasikia Mnyika ana Amnesia...!
Hata hivyo shughuli zote zina fanyika Masaki kwa Lowasa na yeye ndio anatoa maelekezo.
Nisha mjibu bosi wako ritzAsante sana mkuu, nimeshakaribia. Haya jibu swali sasa, Mnyika yuko wapi?
Jana JPM katubia viongozi wa CCM ikulu na sio Lumumba.......how about thatNasikia Mnyika ana Amnesia...!
Hata hivyo shughuli zote zina fanyika Masaki kwa Lowasa na yeye ndio anatoa maelekezo.
Mbona jibu liko wazi, CCM sasa hivi wanastarehe tu, Mzee wa Push Up anaendelea na kazi ya CCM.Bado hujajibu swali,nimekuuliza Kinana yuko wapi?
Ndio umeharibu kabisaaMbona jibu liko wazi, CCM sasa hivi wanastarehe tu, Mzee wa Push Up anaendelea na kazi ya CCM.
Kuna la kungea hapo?
Hapa Kazi TU!
Wapi tena mkuu, mjamaa anapasua majipu kulia , kushoto, hadi madarajani!Ndio umeharibu kabisaa
Hivi hawa ni wapinzani?Wapi tena mkuu, mjamaa anapasua majipu kulia , kushoto, hadi madarajani!
Wanaoisoma namba si wapinzani tu, bali wezi, wabadhirifu, wafujaji wa mali ya umma.
CCM hawana cha kuongeza hapo, au ulitaka waseme nini?
Kwa hivyo CCM hakuna wezi?Wapi tena mkuu, mjamaa anapasua majipu kulia , kushoto, hadi madarajani!
Wanaoisoma namba si wapinzani tu, bali wezi, wabadhirifu, wafujaji wa mali ya umma.
CCM hawana cha kuongeza hapo, au ulitaka waseme nini?
Hivi hawa ni wapinzani?
Nyie ndo mnafeli shule msijue mlipokosea kuingia chakani, soma tena jibu languKwa hivyo CCM hakuna wezi?