KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,004
- 40,424
Tukiacha ushabiki pembeni inawezekana kabisa kuwa kuna matatizo ndani ya CHADEMA.....na kama ni kweli kuna tatizo basi lishughulikiwe mapema sana....
Wapo wengi tu, na wanatumbuliwa hadi juu ya madaraja, kwa staili ya mfalme Herode na Baraba!!Asante kwa kukubali kuwa bado kuna wezi ndani ya CCM
Kila zama na kitabu chake! Unacheza mziki kulingana na mdundo. Mdundo wa mkwere unaufahamu; nusu kaputi ilidungwa kwa usalama wa taifa, ikadungwa kwa takukuru, ikadungwa kwa tume ya maadili. Baada ya hapo ni KUPIGA TU!Kwahiyo ni kweli Magu anatekeleza hoja za wapinzani? Kama ndivyo, wakati huo wapinzani wakizizungumza hoja hizo mbona chama cha majipu walikuwa wanazipinga na kuzipuuza? Tunaangamia kwasababu ya ujinga wetu!
Hujaeleweka hapo,Mbowe siku hizi anashinda Masaki kwa Mbowe.
Luwasa anaandaa safu mpya ya uongozi...wote hao nafasi zao zitajazwa na vijana wa 4U.Mtu kama Salum Mwalimu alikuwa nakuja vizuri sana lakini kutokana ujio wa Lowassa mpaka leo ajulikani alipo.
Chama kinaviongozi mbalimbali siyo kila mtu ni msemaji wa chama elewa hilo wewe pusy!!!Hivi mara ya mwisho lini wewe umemuona Mnyika au Mwalim wakitoa matamko ya chama?
Hvi unajua kama bunge limeanza rtzHivi mara ya mwisho lini wewe umemuona Mnyika au Mwalim wakitoa matamko ya chama?
Kawa mwenyechama baada ya kukinunuaHivi Lowasa ni kama nani ndani ya CDM au UKAWA kwa ujumla?
Jk umwonee wapi .... njoo hapa lumumba...yuko wapi Mangula, wapi Kinana, wapi JK,...??
Acheni porojo za kitoto.Kwani viongozi wa Chadema wanachaguliwa na Lowassa au na kamati kuu?Luwasa anaandaa safu mpya ya uongozi...wote hao nafasi zao zitajazwa na vijana wa 4U.
Sasa hivi msemaji ni Lowasa mwenyewe...Mara ya mwisho msemaji wa Chadema alikuwa Mbatia.