radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,292
Acha kupotosha, nchi haina vikao vya Bunge?!
najua huwezi kujua kwa kuwa hujui hadi muda huu bunge linaongozwa na magufuli na baraza la mawaziri ndo mana nkakwambia hakuna bunge.
Acha kupotosha, nchi haina vikao vya Bunge?!
Salum Mwalimu nilimuasa kupitia humu humu JF, kuwa hao wachaga wanakutumia tu wakikuchoka unaambiwa msaliti.
Mnyika nae ni chizi mpevu, uzima wake unategemea na mwezi.
He is simply lunatic.
Kazi ya Kinana ilikuwa ni kuweka mtu sahihi awatetee watanzania. Kinana baada ya kufanikisha ujio wa mkombozi Pombe kazi yake iliisha. CCM haihitaji kunadiwa inajinadi. Pombe oyee. 2025 unashinda 90%.Yuko wapi Kinana?
CCM ni chama chakimkakati zaidi yani mnapigwa kotekote huku Magu kashika media zote na.bunge.mlilokua mnategemea japo mfanye vituko vyenu wananchi waone,nalo tumepiga burn,mnabaki kufurukuta tuKama kweli CHADEMA na UKAWA wamekwisha kwa nini Bunge halirushwi live?
Sio mzima wewe!najua huwezi kujua kwa kuwa hujui hadi muda huu bunge linaongozwa na magufuli na baraza la mawaziri ndo mana nkakwambia hakuna bunge.
Hapa ndipo ninaposema watu wa ukawa hatuna uelewa kabisa,kwa hiyo kwa sababu kinana haonekani na sisi hao wakina mnyika wasionekane??idiotBado hujajibu swali,nimekuuliza Kinana yuko wapi?
teh teh, yaani hao bado hawajajua kama cdm imeuzwa siku nyngi. tajiri wa cdm wa sasa kaibadili sura cdm hata ukikutana nayo barabarani huwezi kuitambua.Wanaukumbi.
Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.
Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.
Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.
Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
The election has passed away so we have to focus on development things not to stay and talk politics. You have to change brother.Hivi mara ya mwisho lini wewe umemuona Mnyika au Mwalim wakitoa matamko ya chama?
It seems that you scare So much cdm? That's why you are trying to search what is in cdm right now?~~~>>Ukimya wa Mnyika unaleta maswali mengi yasiyo na Majibu..... Ukimya huu umeanza mwaka jana.
~~~>>Hata baada ya kuwa na Katibu bado naona chama hakisikiki tena..... Hapa kuna Changamoto.
'Mbaazi akikosa maua husingizia jua'.....Kama mtu ana hoja atasikika tu, iwe ndani au nje bunge!Kama kweli CHADEMA na UKAWA wamekwisha kwa nini Bunge halirushwi live?
Mfuate yupo jimboni kwake kibambaNimemisi sana kauli za John Mnyika
Wako wapi Kinana,Olesendeka!Wanaukumbi.
Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.
Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.
Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.
Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
Matamko gan unataka wewe??? Kila kitu na mda wake syo kila saa unaweza kuskia kauli za wenye Busara!! Nyie bakini na majungu yenu et watu wakitoa misaaada BUKOBA ni mchezo wa kisiasa!! Kwel CCM Chama cha ajabu xana!!Wanaukumbi.
Kwa muda sasa sijawasikia hawa makamanda Salum Mwalim, John Mnyika, Tundu Lissu, hata ukipita Makao Makuu ya Chadema pale Ufipa ni ngumu kuwapata.
Tulizoe kusikia na kuona matamko yao kila baada ya muda kupitia kwa Tumaini Makene ambaye naye hajulikani alipo.
Kwa habari za ndani kabisa kama tulivyoambiwa na mfuasi mmoja wa Chadema pale Ufipa anajulikana kwa jina moja tu Kabwela, kuwa sasa hivi shughuli za chama zinafanyika Masaki kwa Lowassa, siyo Ufipa tena na huko ni vigumu kufika wao.
Anasema hata huyu Katibu Mkuu mpya naye uwa anakuwa Masaki pia, Ufipa tupo siye tu alisema Kabwela.
Mzee# inawezekana nafsi inamsuta Mnyika baada ya kuona msimamo wa chama dhidi ya Lowassa umebadilika wakati yeye alikuwa mmoja wa Wahubiri wa Siasa za ufisadi wa Lowassa. Anaona aibu, bora anyamaze.~~~>>Ukimya wa Mnyika unaleta maswali mengi yasiyo na Majibu..... Ukimya huu umeanza mwaka jana.
~~~>>Hata baada ya kuwa na Katibu bado naona chama hakisikiki tena..... Hapa kuna Changamoto.