Mzee
Platinum Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,868
Mzee# inawezekana nafsi inamsuta Mnyika baada ya kuona msimamo wa chama dhidi ya Lowassa umebadilika wakati yeye alikuwa mmoja wa Wahubiri wa Siasa za ufisadi wa Lowassa. Anaona aibu, bora anyamaze.
Inamaana kamanda amekataa kubadili gia angani???