Wako wapi Kapteni Mkuchika, Dkt. Mpango na Salma Kikwete?

Wako wapi Kapteni Mkuchika, Dkt. Mpango na Salma Kikwete?

Kutangaza ndio solution? Acha ujinga,jikinge wewe mwenyew na familia yako,vaa barakoa,Nawa na maji tiririka tumia vipukutisha unataka nini kingine,utamkiwe tu Corona IPO?ili ufanyeje?
Utapata akili soon mpuuzi ww, endelea kushangilia mauti
 
Ngoja imlambe mama ako upate na akili
Mama yangu na baba yangu walishafariki,kila nafsi itaonja mauti.Ukiona MTU anaogopa kufa ujue no mtenda dhambi.Mkuu siogopi kufa siku ikifika ntakufa siwezi kuongeza hata nukta.kwa umri huo ulionao umepoteza watu wangapi?usiipende sana dunia mkuu.kutangaziwa corona IPO hakuwezi kuwa Tina,NARUDIa...vaa barakoa,nawa mikono kwa maji tiririka,timia sanitizer, keep social distance, omba mungu,epuka mikusanyiko isiyo ya lazima.Au tukuletee bango nyumbani kwako CORONA IPO Tanzania ushangilie?usishikiwe akili na wanasiasa kila MTU amepewa akili zake.
 
Kwa akili kama hizi ndio zinatusababishia vifo vya uzembe
Wewe unataka tamko LA serikali kuna corona kama hufuati taratibu za kujikinga huwezi salimika,acha siasa za kijinga unazojazwa kwenye akili yako.NARUDIa...
Vaa barakoa
Nawa mikono na sabuni kwa maji tiririka
Tumia sanitizer
Epuka msongamano
Keep social distance
Kaa nyumbani kama hina safari ya ulazima
Hayo hapo juu sio Tina yatakusaidia wewe na uwaambie familia yako.
Kutangaziwa haiwezi kukusaidia kitu wewe kondoo
 
Mods hivi huyu yupo juu ya sheria anatukana na nimeripoti mara kibao lakini bado tu yupo huru?
Ulikuwa wakwanza kuni quote,umeona sehemu niliku quote kabla yako?,jibu hoja acha kukimbilia moderators wakusaidie.learn to fight alone.Kumbe kazi yako ni kuquote watu alafu unakimbilia kwa modes?what a shame!.
Wewe unataka tu tangazo kutoka serikalini kuna CORONA ili upate faida gani?
NARUDIa tena kwako japo husikii
Chukua tahafhari as you. Kwako na familia yako.
1)Vaa barakoa
2)Nawa mikono kwa maji tiririka
3)Tumia sanitizer
4)Epuka misongamano
5)keep social distance
6)epuka safari zisizo za lazima
Waambie na familia yako na watu wako was karibu.Huu ni msaada mdogo nimekupa.Kama hutaki subiri serikali ikutangazie.Utapoteza ndugu zako mkuu,this is brotherly advice take it or leave it,you are the decision maker of you and your family.
Kwa nn wabongo tunapenda Ku complicate vitu rahisi kwa sababu ya siasa?
Bado unataka tamko LA serikali?
 
Tusifurahie matatizo ya wenzetu...

Ubaya wa Covid ni kama upepo vile, hata kama upo ndani utakufuata
 
Wakuu,

Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.

Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Mkuchika ameonekana kwa mtandao akikabidhi gari kwa wajane wa Marehemu Aboud Jumbe
 
Back
Top Bottom