Wako wapi Kapteni Mkuchika, Dkt. Mpango na Salma Kikwete?

Dr H Abas hali tete,
Kwakua sasa ipo kwa viongozi huenda kukawa na seriousness kwenye issue ya corona,viongozi wetu wamejisahau sana,wanaendesha nchi kibabe,hata kwenye maradhi nako wakaleta ubabe,
Kwakua mmekataa kufuata misingi ya gonjwa la korona ngoja tuone kama bado mtaendelea na misimamo yenu.
 
Mbona Leo nimemuona
 
Poleni sana.. Kwa taarifa tu wengi tu wapo hali mbaya.. Kabudi hoi
haiwezekani kwani vile vibotlo vya Madagascar alivotestigi vimedunda !!!???

Ase!!! inaonekana hii ya corona ya Bongo ina 4wheel mwanangu ...

Sasa itakuwaje, kwahiyo inamaana mjengoni kimenuka au??? kwanza chamwino veepe ???

Naskia jamaa kajichanja kimyakimya ndio mana hata moro sokoni alikua anajilipua tu waziwazi
 
Back
Top Bottom