minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,421
- 22,433
AminaMpango ni mtu safi sana. Mungu ampiganie sana.Namuombea kwa Mungu wangu wa kweli apate ahueni mapema
AminaMpango ni mtu safi sana. Mungu ampiganie sana.Namuombea kwa Mungu wangu wa kweli apate ahueni mapema
Tumuombe Mungu, tuchukue tahadhari maana hatujui mimi na wewe lini. Serikali imetutenga, hakuna namna zaidi ya kujiongeza wenyewe!Huu mwaka naona utakuwa mrefu sana, mpaka december ifike...
Nakuona unafurahia madhira yanapo wakuta watu.
Hakushiriki kwenye wizi wa Kura?Mpango ni mtu safi sana. Mungu ampiganie sana.Namuombea kwa Mungu wangu wa kweli apate ahueni mapema
Alishiriki kwa kushinikizwa na mzee baba. Si unajua wakurugenzi walishakuwa na maelekezo toka juu?Hakushiriki kwenye wizi wa Kura?
Kama hakushiriki poa, sala yako na ifike
Wakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Tia maji tia maji bwashee.Wakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Ili iweje,Mliopo huko Dar mtafuteni mtu anaitwa sele 0787132277 au 0715132277 anazo taarifa zote za viongozi wanaougua covid 19 atawapa list, ukikosa mda wa kuonana nae mpigie simu muulize habari zote
yuko somewhere huko, subiriJohn Mkuchika
wewe hapa unatafuta nini? ukijibu hilo utapata ili iwejeIli iweje,
Kaulizia viongozi wengine wa kitaifa ambao kwa utendaji wao, wanapaswa kuonekana kila leoPoleni sana.. Kwa taarifa tu wengi tu wapo hali mbaya.. Kabudi hoi
What a Stupid comment..!!!Small minds discuss people!
Anza Kutega Sikio lako katika maeneo haya matatu yangu tajwa ya Kijiografia tafadhali....Kuna mtu katabiri vifo vya watu mashuhuri watatu, so mpaka hapo bado mmoja.
E mungu sikia kilio chetu. Jpm amerunyima ajira sisi wanyonge tunasoma kwa taabu halafu wanapeana vyeo walewale waliokwishaajiriwa sisi tunakufa kwa utapia mlo. E mungu waue wote ili nasi tupate ajira. Jpm naye mreatishe in peace plzNenda Muhimbili Hospital kwenye wodi ya wagonjwa wa "KUPUMUA KWA TABU" kawaulizie. Au piga simu katika Wizara zao za kazi kupata taarifa zao.
Hawa ni viongozi wetu wa mtaa,lazima tujue waliko.Watanzania wenzetu.Small minds discuss people!