Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,873
- 29,048
Kama sio muhimbili basi Dodoma Hospital
Wako bize wakipiga nyungu na kunywa limau kwa wingi. La sivyo, muulize aliyewapa madaraka.Wakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Wee mpaka kabudiPoleni sana.. Kwa taarifa tu wengi tu wapo hali mbaya.. Kabudi hoi
JIOMBEE MWENYEWE BRO TAIFA LENYEWE LINAKUSIMAMIA ILI UFE..😕Duuh tuendelee kuliombea Taifa
Aina ishu iyo dawaIna maana hii haikusaidia ?View attachment 1705021View attachment 1705022
Ongezea na Palamagamba KabudiWakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Ukiona tumefika huku anza kumtafuta nani katufikisha huku,awamu ya tano wanafikiri hata umoja wa kitaifa nao unaletwa kwa mabavu,nchi ipo vipandevipande.Yaani Kuna watu kwa sababu ya uchu wa madaraka wanazani huu ugonjwa ni kwa ajili ya Wana CCM ni ushenzi usiokuwa na kifani tumuombe Mungu atuepushe na kikombe hiki.
Mkuchika ni kiongozi bora kabisa ndani ya utawala wa diktetaWakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Kuficha ndiyo solution?Je Raisi akitangaza Tanzania kuna Corona, then what next?
Just like this one here!What a Stupid comment..!!!
Katiba mbovu imetufikisha hapaUkiona tumefika huku anza kumtafuta nani katufikisha huku,awamu ya tano wanafikiri hata umoja wa kitaifa nao unaletwa kwa mabavu,nchi ipo vipandevipande.
Pitia Social media kila Mara utajua wako wapiWakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Hujanijibu,akishatangaza IPO then what next?Kuficha ndiyo solution?
Kutangaza ndio solution? Acha ujinga,jikinge wewe mwenyew na familia yako,vaa barakoa,Nawa na maji tiririka tumia vipukutisha unataka nini kingine,utamkiwe tu Corona IPO?ili ufanyeje?Kuficha ndiyo solution?
Kwa akili kama hizi ndio zinatusababishia vifo vya uzembeKutangaza ndio solution? Acha ujinga,jikinge wewe mwenyew na familia yako,vaa barakoa,Nawa na maji tiririka tumia vipukutisha unataka nini kingine,utamkiwe tu Corona IPO?ili ufanyeje?
Mkuu unasena "tuta" kwani wewe utakuwepo?Unamaanisha tunarudia uchaguzi upya?
Muulizaji kaanisha hajawaona ktk viunga vya bunge vp tena mizengo pinda aingie hapo?Hizi ni dalili za uchawi. Mbona hujamuulizia Mizengo Pinda?