MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,016
- 16,813
Japo hata Waha nao huko aliko sasa wanahangaika sana kwa Mambo yao ya Kiutamaduni Kumuokoa lakini........Mpango anapumulia mashine.
Japo hata Waha nao huko aliko sasa wanahangaika sana kwa Mambo yao ya Kiutamaduni Kumuokoa lakini........Mpango anapumulia mashine.
One more dose pleaseIna maana hii haikusaidia ?View attachment 1705021View attachment 1705022
Poleni sana.. Kwa taarifa tu wengi tu wapo hali mbaya.. Kabudi hoi
Waswahili husema, kiendacho hurejea. Mwanzoni corona ilipiga "miguu" tukasema siyo corona ila ni watu wanajikwaa barabarani ,ila wengi walibadili anuani zao. Wimbi lile limerudi kwa kasi ya aina yake, kwa sasa likiwa linapiga kuanzia miguuni na linapanda kuelekea kichwani,kwa sasa "mtoa majibu" nae hakai , halali, hewa imekuwa ngumu kama jiwe ila anasingizia udogo wa pua.Dr H Abas hali tete,
Kwakua sasa ipo kwa viongozi huenda kukawa na seriousness kwenye issue ya corona,viongozi wetu wamejisahau sana,wanaendesha nchi kibabe,hata kwenye maradhi nako wakaleta ubabe,
Kwakua mmekataa kufuata misingi ya gonjwa la korona ngoja tuone kama bado mtaendelea na misimamo yenu.
Kikwete naye mjinga msiba wa Corona unampeleka mke wako huko sasa Mama hoiWakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Tumewazoea mnajua sana kulazimisha,eti corona mmeibadilisha jina manaiita nimonia kali, mtu anakufa kwa korona ninyi mnasema ajali ya gari,ubaya wa corona ya sasa hata kama utapewa huduma first class bado utaondoka.Mbona Leo nimemuona
Dah! Humtakii mema Sele.Mliopo huko Dar mtafuteni mtu anaitwa sele 0787132277 au 0715132277 anazo taarifa zote za viongozi wanaougua covid 19 atawapa list, ukikosa mda wa kuonana nae mpigie simu muulize habari zote
Kwani Mizengo Pinda ana cheo gani serikalini?Hizi ni dalili za uchawi. Mbona hujamuulizia Mizengo Pinda?
Halafu hata mzee wako white hairs naye sijamuonaHizi ni dalili za uchawi. Mbona hujamuulizia Mizengo Pinda?
Ana Kiarusi Halike ni mbayasanaMkuchika yupo India
Hadi Salma wa Seya?Anza Kutega Sikio lako katika maeneo haya matatu yangu tajwa ya Kijiografia tafadhali....
1. New Delhi ( Bombay ) India
2. Kigoma Tanzania
3. Chalinze / Lindi Tanzania
Mpaka sasa ni 50 / 50 kuwa nao au wao kutuacha.
Kuna wa Oman ya Tanzania pia.Anza Kutega Sikio lako katika maeneo haya matatu yangu tajwa ya Kijiografia tafadhali....
1. New Delhi ( Bombay ) India
2. Kigoma Tanzania
3. Chalinze / Lindi Tanzania
Mpaka sasa ni 50 / 50 kuwa nao au wao kutuacha.
Usinitafutie ubaya tafadhali.H
Hadi Salma wa Seya?
Binafsi naamini kuwa jambo lolote hutokea pasipo kuombewa. Tukio lolote ni matokeo ya ulichofanya na ambacho hukufanya.Nchi hii ina washirikina wengi sana kukesha kuombea watu mabaya tuu.
Mkuchika yupo India kwa matibabuWakuu,
Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.
Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Wacha wehu wewe,hao wote waliotajwa ni viongozi walio chaguliwa na wapiga kura wao.Small minds discuss people!