Tulibahatika kuishi vizuri sana aisee, threads za kusisimua na shule ya kufa mtu... hata siku hizi hali ipo ila naona kuna wataalam wa kizaiz kipya naona wamekuja kivingine kwahiyo wazee tumeyumba kidogo
hawakawii kuomba picha...:A S 114:
nipo sweet wangu, huwa napita pita nikipata nafasi, mzima wewe?
Yaani wewe hiki kirusi sijui ulikitolea wapi ....lol!!!!!!!!!!!!
phewwww, asavali maana nilisoma bandiko hapo nyuma ati nawe umeadimika humu.
Mie mzima tu mum, nani kakubana huyo jamani?
ooh yeah, nilikuwa nampenda sana, sasa hivi nampenda yule mcharuko mwingine lerato, aisee kananimaliza kabisaaaaa!
hahaahah!! ngoja tukitaftie dawa, ila nammiss @krolokwini hadi nahisi kuugua mwenzenu. lol
Kuhusu klorokwini nadhani Asprin anaweza akatuambia mahali alipo kidonge mwenzake
Dah! Pole sana. Ina maana nyumba ndogo imekuzidi?
Sema hakyamama. Nikuitie? Utanizawadia nini?
My fellow tablet yupo sana. Kama vipi nikatie dau nimlete hapa sasa hivi.
Kuna mahali umenionea moskwito Mbu na soulmate wake MwanajamiiOne. sijui ndo wameshaoana wameamua kujipa ban ya ID zao za zamani?
Kuna mpinzani wangu wa jadi kwenye mambo ya Infii anaitwa carmel. sijui nae kafia wapi.
Baada ya kusema hayo nisaidie kumuuliza mzee mwenzangu Dark City alikuwa wapi siku zote mpaka wajuu zake wanapotea ndo awakumbuke leo???
Sijui nilikosea wapi.......bora angeniambia......
My fellow tablet yupo sana. Kama vipi nikatie dau nimlete hapa sasa hivi.
Kuna mahali umenionea moskwito Mbu na soulmate wake MwanajamiiOne. sijui ndo wameshaoana wameamua kujipa ban ya ID zao za zamani?
Kuna mpinzani wangu wa jadi kwenye mambo ya Infii anaitwa carmel. sijui nae kafia wapi.
Baada ya kusema hayo nisaidie kumuuliza mzee mwenzangu Dark City alikuwa wapi siku zote mpaka wajuu zake wanapotea ndo awakumbuke leo???
....hahahah,... Asprin naweee,...hebu usitusimangie na Soulmate wangu MwanajamiiOne banaa
halafu, kwa heshima na taadhima hebu anzisha sredi angalau moja kila wiki,
kisha Teamo nae aanzeshe za kwake kama hamjaona MMU inarudia kama zamani.
...mzee Dark City amejaaliwa kuturudisha kundini angalau leo, pheewww!
....kwakweli #TulikuwaWapiSikuZote???